Tatizo la maumbile ya kiume madogo sana linanitesa sana

Mathias_95

Member
Apr 17, 2021
26
80
Habari wana jamvi,

Naitwa James Jackson nipo Mbeya. Nina umri wa miaka 28 sasa, tatizo hili nimekuwa nalo tangu utotoni na mpaka sasa siwezi hata kuanzisha mahusiano ya kimapenzi kwa sababu ya kidude kuwa kidogo sana.

Naomba kama kuna mwenye anaweza akanisaidia alternative ya kufanya nionfokane natatizo hili nitamshukuru sana.
 
Daah kuna zile theory za Darwin za use and dis use theory kwenye evolution of man mkuu sijui kama zina ukweli.

Kua kiungo unapokitumia sana ndio kinakua na kina kua strong zaidi ,ila usipokitumia kinakua weak na kinaweza kupotea kabisa.

Hebu jaribu kutumia hii theory may be inaweza kukusaidia
 
Back
Top Bottom