Tatizo la maumbile madogo (micro penis) linatibika?

Mbili kaka, urefu wangu ni futi sita, uzito ni kilo 67

Mm ni mtu mzima kidogo, nina uzoefu na nimeona mengi kiasi. Nisikilize.....

Uume uliolala usikupe mawazo.

Kama ukisimama ni mbili pia endelea na maisha maana kuna siku utakufa sasa usitumie mda wako ulio nao kutesekea kiungo.

Usiwe na mahusiano serious ukitegemea uaminifu wa mwenza wako. Furahia maisha kwa namna yako kutokana na ulivyoumbwa.

Kama unahitaji mtoto, ongea na mtu mweleze una tatizo la maumbile madogo ila unahitaji mtoto zaa nae lea mwanao kwa makubaliano bila mahusiano serious. Abaki kuwa mama wa mwanao tu huku akiendelea na maisha yake.

Kama pesa ipo apandikizwe mbegu bila kuingiliana na bila kumwambia udhaifu wako lakini kwa makubaliano ya kukuzalia na kulea tu.

Maisha ni mazuri sana usipojilinganisha na kutaka kufanana na wengine. Yafurahie kwa namna yako kulingana na ulivyoumbwa.

Vijana wengi wana changamoto za mahusiano pamoja na uwepo wa maumbile sahihi katikati ya miguu na wakati mwingine wanalazimika kubadili wapenzi mara nyingi na wanaachwa.

Hakuna jipya chini ya jua, furahia maisha kwa namna yako kulingana na ulivyoumbwa
 
Back
Top Bottom