Tatizo la masikio: Nimepoteza usikivu baada ya kuumwa Malaria kali

Habari za wakati huu wakuu, natumaini sote humu ni wazima wa afya, na kama kuna ambao labda hali zao kiafya sio njema Mungu awasaidie ili muweze kupata unafuu.

Nimeamua niandike huu uzi nikiwa na huzuni kubwa sana moyoni kwa hili janga lililo nitokea.

Mwaka 2013 mwezi wa 8 nikiwa nasoma kidato cha pili niliugua Malaria kali sana iliyopeleka mpaka kufika hatua ya kutishia maisha yangu, naweza kusema zilikuwa zimebaki dakika kadhaa tu huenda nisingekuwepo tena hapa duniani.

Lakini Mungu ni mwema sana hatimaye niliweza kupona kabisa.

Sasa wakati naelekea kupona ghafla masikio yangu yalianza kupoteza usikivu. Yaani ilikuwa kama masihara tu masikio yangu yaliziba kabisa kiasi ambacho sikuweza kusikia mpaka muda huu ninapoandika hapa. Pia ikumbukwe kwamba nilizaliwa masikio yakiwa mazima kabisa bila tatizo lolote.

Halafu kuna jambo lingine ambalo huwa linanichanganya ni kwamba tangu nipoteze usikivu ndani ya masikio yangu kuna miungurumo fulani hivi ya ajabu ambayo huwa siielewi kabisa.

Kwa kweli naumia sana kila nikitafakari hatma ya maisha yangu ya baadae na ukizingatia mimi bado ni kijana mdogo tu mwenye miaka 22, ndoto zangu zote zimezima kabisa.

Msaada jamani kama kuna mtu yeyote mwenye utaalamu kuhusu masikio anisaidie please!

Asanteni!
am feeling sorry for you mkuu, nimeumia sana tena sana maana dogo wa mbali kidogo amewahi umwa hivi...inaumiza sana Hospital tulipita kote huko muhimbili, CCBRT pia wakaseka dogo ana kitu kinaitwa Mld Hearing Loss sio hatua kubwa sana ila ni ya kati katika kutosikia vizuri.....Muda wote binamu alikuwa anapiga simu anaongea kwa huzuni hali ya mtoto analia na kuwaza dogo ataishije maisha yenyewe haya, it was hell of an experience...alilipa pesa nyingi sana kuna hadi kipimo cha 80 hicho ni kioimo na sio tiba.....

Dogo alikuja pona badae kuna mambo mengi yalitokea ila yupo sawa now.... Usikate tamaa mkuu kama unasoma jitahidi utimize lengo lako maana inaweza tokea ukapona na shule uliacha.... So pambana usijione mpweke my blvery best classmates chuo alikuwa na same problem na hivi alikuwa anajichanganya na kukaa back akawa hasikii hata kitu lecture anachosema pia akawa haoni vizuri means lecture inampita akiwepo class, ila chaajabu jamaa alikuwa so talented sana alipiga copy tu notes za wengine na akapita, hakuwahi pata hata SUP hata moja na GPA aliokota ya 3.8 huko....

So usiumie sana tafuta good friends dogo alikuwa anajitenga Sana sijui upande wako ipoje but jiamini, make friends, class do your best kuna tunaokujali kama shida unasema hapa jukwaani tunasolve, usikate tamaa maana utawaumiza mno wazazi wako wao wanaumia zaidi na wanawaza zaidi yako juu ya hilo tatizo lako......ukiwa na shida yako mawazo unatujulisha mkuu usiumie,

Mungu alieruhusu wewe kuwa hivyo anajua mlango wa wewe kutokea, u will be the best man trust me.... Jamaa angu now yupo poa sana analife lake linaeleweka tu japo siwezi jua cha kichwani mwaka lakini anaonekana ameovercome hii stress

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 2010 nilipata tatizo kama lako. Nilimeza kubwa ya malaria na hivyo ghafla tu masikio yakaziba na nikawa nasikia kwa mbali sana! Kutokana na uelewa duni, nilikaa mwezi mzima bila kwenda hospital nikitaraji yatarudia hali yake ya awali. Siku zikakata na nikaanza kuogopa sana hivyo nikaamua kwenda Muhimbili pale kuna clinic ya masikio!. Kwa kuwa sikuwa na referal ya kwenda pale nikawa admited kama fast truck na nilitakiwa kutoa kama 15000 kila nilipokwenda kuonana na daktari!. Kwa kuwa nilikuwa bado mdogo sana tena mwanafunzi, nesi mmoja aliniita pembeni akaniambia "wewe bado mdogo sana hutaweza kumuda hizi gjarama" akanishauri nianzie Amani an mnazi mmoja ili wanipe referal ya kwenda muhimbili ili nitibiwe bure.. Kwa hiyo nikaamua kwenda Amana, nikakutana na doctor nikamueleza shida yangu nikaongeza na chumvi kidogo ili tatizo lionekane kubwa sana! Doctor yule akaniandikia rufaa nikarudi tena Muhimbili kwa madaktari wa masikio! Nilivyofika pale nikafanhiwa kipimo cha usikivu na usikivu wangu ukaonekana upo chini sana!. Nikaandikiwa dawa ambaO nikawa natumia miezi mitatu mfululizo then napumzika miezi mitatu. Baada ya hapo narudi tena (kila baada ya miezi sita) kupima usikivu na kupewa dawa zingine tena. Baada ya kuhudhuria Muhimbili miaka miwili sasa nipo Ok! Yaani ilikuwa masikio yanaunguruma kama mvumo wa gari!.. Sasa dawa zenyewe nilizokuwa natumia ni vidonge vya Vitamin B Complex (vile vidogo kama pilton. Kwa ufupi kama ungejua siku masikio yako yalipoziba na ukaenda tu duka la dawa ukanunua hivyo vidonge masikio yako yangezibuka tu ndani ya siku mbili.. Nakuonea sana huruma kwa sababu umekaa miaka saba bila kupata tiba. Mimi nilikaa mwezi tu bila kwenda hospital matokeo yake ilinichukua miaka miwili kupona!.. Halafu kwa hilo tatizo langu madaktari walinikataza kyla kisamvu na mihogo.. Lakini pia nilikuwa nikiweka sukari kwenye maziwa na kuyanywa ilikuwa inasababisha masikio yangu kuziba!.. Nakushauri nenda pale Muhimbili onana na madaktari wa masikio wakufanyie vipimo waone kama tatizo lako linatibika!.. Pale muhimbili huwa kuna Clinic ya masikio kila alhamis nadhani.

Sio mimi ni mtoto wa binamu mkuu and ni kweli kuwahi huduma inasaidia maana ukichelewa tatizo linaweza kuwa kubwa na hapo hujagombana na watu maana dogo scul alikuwa ameanza tu walimu wakawa wanahisi ni nidhamu mbovu kumbe maskini dogo mgonjwa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
am feeling sorry for you mkuu, nimeumia sana tena sana maana dogo wa mbali kidogo amewahi umwa hivi...inaumiza sana Hospital tulipita kote huko muhimbili, CCBRT pia wakaseka dogo ana kitu kinaitwa Mld Hearing Loss sio hatua kubwa sana ila ni ya kati katika kutosikia vizuri.....Muda wote binamu alikuwa anapiga simu anaongea kwa huzuni hali ya mtoto analia na kuwaza dogo ataishije maisha yenyewe haya, it was hell of an experience...alilipa pesa nyingi sana kuna hadi kipimo cha 80 hicho ni kioimo na sio tiba.....

Dogo alikuja pona badae kuna mambo mengi yalitokea ila yupo sawa now.... Usikate tamaa mkuu kama unasoma jitahidi utimize lengo lako maana inaweza tokea ukapona na shule uliacha.... So pambana usijione mpweke my blvery best classmates chuo alikuwa na same problem na hivi alikuwa anajichanganya na kukaa back akawa hasikii hata kitu lecture anachosema pia akawa haoni vizuri means lecture inampita akiwepo class, ila chaajabu jamaa alikuwa so talented sana alipiga copy tu notes za wengine na akapita, hakuwahi pata hata SUP hata moja na GPA aliokota ya 3.8 huko....

So usiumie sana tafuta good friends dogo alikuwa anajitenga Sana sijui upande wako ipoje but jiamini, make friends, class do your best kuna tunaokujali kama shida unasema hapa jukwaani tunasolve, usikate tamaa maana utawaumiza mno wazazi wako wao wanaumia zaidi na wanawaza zaidi yako juu ya hilo tatizo lako......ukiwa na shida yako mawazo unatujulisha mkuu usiumie,

Mungu alieruhusu wewe kuwa hivyo anajua mlango wa wewe kutokea, u will be the best man trust me.... Jamaa angu now yupo poa sana analife lake linaeleweka tu japo siwezi jua cha kichwani mwaka lakini anaonekana ameovercome hii stress

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu.. Hakika nimepata faraha kubwa sana kusikia hivyo shukran sana🙏
 
Asante sana mkuu.. Hakika nimepata faraha kubwa sana kusikia hivyo shukran sana
it's a pleasure bro.... Usihuzunike imetokea inabidi upambane and raha yake kujichanganya ni hutojikuta unawaza kuwa wewe hufai never, maana jamaa angu aliishi life lake la furaha tu and Mungu hakunyimi vyote so kuna watu sahihi atawaleta katika maisha yako....

Kama ni mahusiano jamaa angu alipata a very beautiful girl and muda wote walikuwa wote campus life, ilikuwa ngumu kumgundua hasikii vizuri maana tulijua tuongee vipi tuelewane so kuwa na amani tu mkuu......

Jamaa angekuwa humu JF angekwambia mengi sana ya kukupa moyo..usiache kushare idea zako na mawazo yako hapa maana ukitoa la moyoni basi unakuwa huru....ila shule kazana Kama unasoma jitahidi sana do your best haiwezekani ukose vyote na siku zote Mungu atakupa watu wa kukuvusha katika hii situation......

ukitembelea vyuo kadhaa hata sec utakuta wengi wenye hii situation wala usijione hufai....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom