Tatizo la manunuzi ya mtandao

Bin Chuma75

JF-Expert Member
Dec 15, 2012
990
1,040
Wakuu habarini? Nimeleta hili jambo hapa jukwaani ili nipate muongozo mimi na wengine tusiojua.
Nimenunua bidhaa eBay lakini sasa ni zaidi ya siku 10 sijapata trucking number, na malipo yalifanyika kwa njia ya PayPal, sasa wakuu kuna njia gani nyingine naweza kutumia kujua mzigo wangu ulipofikia? Msaada wenu wakuu.
 
tracking number inategemeana na thamani ya mzigo wako,sellers weng hawatoi T.R. number kwa mizigo ya thaman ndogo sio wote ila japo baadhi wanatoa
 
cha kufanya

ni kuchek p.o.box lako kama ulitumia njia ya posta kupokea mzigo,kama mzigo ni freedelivery expect to receive aftere 3-4 weeks
 
Wakuu habarini? Nimeleta hili jambo hapa jukwaani ili nipate muongozo mimi na wengine tusiojua.
Nimenunua bidhaa eBay lakini sasa ni zaidi ya siku 10 sijapata trucking number, na malipo yalifanyika kwa njia ya PayPal, sasa wakuu kuna njia gani nyingine naweza kutumia kujua mzigo wangu ulipofikia? Msaada wenu wakuu.
Hiyo item kama ulisoma vizuri utaona iliandikwa free shipping

Ili kupata tracking code epuka free shipping items, hizi huwa wanatuma bila tracking. Lakini pia unaweza kuwasiliana na seller unayetaka kununua item yake na ukamueleza kuwa unataka atume item ikiwa na tracking
 
Back
Top Bottom