Vyeti vya Makonda: Ni Siasa za Woga na Hofu ya Ukali wa Sizonje?

Mnyanyembe wa Mboka

JF-Expert Member
Feb 10, 2017
2,347
3,033
Miongoni mwa vitu vilivyotupa matumaini wananchi juu ya serikali ya awamu ya tano ni jinsi serikali hii ilivyo onyesha kua haitaki ubabaishaji katika utendaji wake halikadhalika hata kwa watendaji wenyewe pia

Serilikali hii ilipoingia madarakani imekua inakemea ujanja ujanja na ubabaishaji katika nyanja mablimbali na maeneo tofauti yenye maslahi kwa Taifa letu, na kukamia kuutokomeza kabisa ubabaishaji na ujanja ujanja pamoja na wajanja wenyewe.

Miongo mwa mambo ambayo serikali hii iliyavalia njuga katika vita yake kuutokomeza ubabaishaji huo ni pamoja na hatua za kukabiliana na janga la watumishi hewa ambapo tulishihudia mmoja wa wakuu wa mkoa akiwajibishwa mbele ya macho yetu, pia hatua kadhaa zilichukuliwa kukabiliana na watumishi wenye VYETI VYA KUGUSHI pamoja na wale wasio na sifa kutokana na viwango vya elimu zao

Katika vita hivyo tumeshuhudia watu wakipoteza ajira zao bila ya huruma mbadala, aidha kwa kuangalia uzoefu, na uwezo binafsi wa kumudu eneo flani la kazi au kibarua husika na wengine walidiriki kupotea kusikojulikana kwa kukwepa aibu ya kua demoted au kufikishwa katika vyombo vya sheria

Katika kuonyesha msisitizo wa vita hivyo dhidi ya ubabaishaji Sizonje amewahi kuchukua hatua kwa hukumu za papo kwa pao zilizo jipatia umaarufu kwa jina la "UTUMBUAJI MAJIPU" kama ambavyo tuliwahi kushuhudia Marehem Kabwe alipotumbuliwa mbele ya umati wakati wa ufunguzi wa daraja la kigamboni kwa taarifa ya mdomo kutoka kwa RC Makonda papo kwa hapo.

Katika kupambana na ujanja huo wa VYETI VYA KUGUSHI sambamba na kukabiliana na tatizo la watumishi wasio na sifa, serilikali ilianzisha mchakato wa kuhakiki vyeti kwa watumishi wa uma na kuwawajibisha wote walio gudundulika kua wamefanya ujanja ikiwamo kupoteza ajira zao tukufu

Kana kwamba hiyo haitoshi serikali hii imekua macho na makini sana tena bila ya kupoteza wakati kufanyia kazi taarifa mbalimbali katika mitandao ya kijamii ili kukabiliana na ujanjaujanja wa watu wasio waaminifu, katika hilo tumeshihudia watu kadhaa hasa wanafunzi wakifikishwa mahakamani kwa tuhuma mbalimbali za uzushi au uchochezi

Lakini tumejua kua hata Sizonje mwenyewe amekua akifuatilia mitandao ya kijamii, hili tuliliona pale Sizonje alipokasirishwa na mashabiki wa Manji na Gwajima, mpaka akatamani angekua IGP pale mashabiki hao walipokwenda kituo kikuu cha POLISI na mshabiki mmoja wa yanga alipoonekana anafuta gari la manji kama ishara ya mapenzi kwake

Pia tumeshuhudia mara kadhaa baadhi ya mambo ya uzushi au uvumi kuhuhusu serikali na utendaji wake au uongozi au kiongozi wake, na uzushi au uvumi huo unaweza kua ni wakulenga kuharibu sifa, mikakati au wasifu wa uongozi au kiongozi au taasisi husika

Katika hilo kumekua na utaratibu kwamba wahusika aidha kiongozi au taasisi zimekua zikijitokeza kukanusha taarifa hizo kwa utaratibu unaokubalika kupitia Magezeti au Redio, Cha ajabu sasa hili la VYET vya MAKONDA mbona limekua kigugumizi?

Sasa tujiulize kwa utangulizi wa facts hizo hapo juu je,

1. MAKONDA kama mkuu wa mkoa haguswi na mchakato wa uhakiki, kwa maana ya kuwa uhakiki huo hauwahusu wakuu wa mikoa kama watumishi wa uma licha ya kua nyazifa zao hazihitaji wala haziangalii kiwango cha elimu kisheria?

2. Sizonje kupitia mitandao ya kijamii hajaliona hili? je hili halimtaminishi kua Ndalichako? kama la shabiki wa yanga kufuta gari ya manji lilivyomtamanisha kuwa IGP? kwakweli "... I wishi I Kuldu be Ndalichako"

3. Ikiwa wa Sizonje na wasaidizi wake katika idara mbalimbali husika wamelichikulia hili kama uzushi, mbona kuna kigugumizi katika kukanusha hili, mbona uzushi mwingine hua wanajitokeza haraka kukanusha?

4. Tuliambiwa tena kwa mbwembwe za kuhofisha kwamba uhakiki wa VYETI utahusisha pia taasisi na watu binafsi, sasa je ukiwa mteule wa Sizonje inamaana hautohusika katika hili, hata endapo tutaamua kumuhakiki Makonda kama mtu binafsi?

Ikiwa serikali pamoja na MAKONDA mwenyewe wanataka kulipuuzia hili na wanataka wananchi walichikulie kama ni jambo uzushi wa kipuuzi ambao hauhitaji majibu wala ufafanuzi wowote basi, zoezi zima la uhakiki wa vyeti serikali nayo ilipuuzie katika kutaka kutafta ukweli na uhalali wa vyeti vya wananchi wake na hivyo kuachana na uhakiki na kuwajibisha wananchi wake bila sababu za msingi kwa sababu ni upuuzi

Mwisho napenda kuweka wazi kua serikali hii inaanza kuzoea kukalia kimya taarifa zinazo kera maskio ya watu katika jamii

1. Tulishuhudia ilivyo kalia kimya ukweli wa issue ya Home Shopping Centre na uhusiano na GSM bila ya kutoa tamko lolote kwa sababu ya maslahi wanayopata kutoka kwao, ikiwamo kusaidia kampeni za Sizonje. Katika zoezi zima la utumbuaji majipu wa makampuni mbalimbali hawa waliwekwa pembeni issue ikapotelea kule

2. Pia tulishuhudia ilivyo kalia kimya ukweli ea issue ya Lugumi na jeshi la POLISI na hatimae mpaka sasa serikali ililichunia jambo hilo baya na kulipotezea mazima swala hilo japo bado linatukera kutoka rohoni

3. Sasa tunaenda kushuhudia jinsi inavyolikalia kimya jambo hili la MAKONDA na VYETI vya kugushi na kuwataka wananchi waachane nalo eti ni upuuzi kufuatilia vyeti vya mtu tuangalie utendaji, basi kama ni hivyo na wale watumishi wengine waachwe kuhakikiwa kwa sababu wamekua watendaji seeikalini muda mrefu

This is not fair jamani ... kumekua na staili ya kumshirikisha Mungu katika matamko au utumbuaji ili tuamini kua kuna uaminifu wa kiroho katika utendaji (Msema kweli Mpenzi wa Mungu) ... ila tukumbuke kama ni Mungu wa kihindi hamna shida ila kama ni huyu Mungu wa IBRAHIM iko siku atawaumbua usoni ikiwa mtaficha baadhi ya mambo mnayoyapenda na kuyatumbua baadhi mnayoona hayana maslahi kwenu.
 
Swali tu ndugu katika research yako umegundua kuwa kweli makonda kafoji vyeti. Kama ndio please kamshtaki mahakamani.

Pili why now kuhus vyeti hasa pale tu madawa yalipoguswa. ? Mana mak-alikuwa Mkuu wa wilaya .so mwenye akili Timamu ataona tu kuna namna.

Tatu kwa sasa wewe unadhani kwa Hali ya madawa unaonaje waendelee kupambana au waache Kwanzaa wadili na vyeti. Je unahakika hawajauliza na kupata Jibu.interest yako kubwa hasa ni Nini. Kwanini wote ni waongeaji sana. Tena hasa wapigaji .mi naona tungetulia basi vita viende then Wakati wewe unamchunguza makonda sisi tutakusubiri.

Usilete hapa majibu Nenda polisi kashtaki. Watu over 50,000,000 nyie mnadhani kazi ni kusoma insta tu tena kitu ambacho ukiamua hata ww unenda tu shule zote kuprove ili ujiridhishe .
 
Fanya yako. Vyeti vya Makonda vinakuhusu nini? Wewe ndio mamlaka yake ya uteuzi????
 
Swali tu ndugu katika research yako umegundua kuwa kweli makonda kafoji vyeti. Kama ndio please kamshtaki mahakamani.

Pili why now kuhus vyeti hasa pale tu madawa yalipoguswa. ? Mana mak-alikuwa Mkuu wa wilaya .so mwenye akili Timamu ataona tu kuna namna.

Tatu kwa sasa wewe unadhani kwa Hali ya madawa unaonaje waendelee kupambana au waache Kwanzaa wadili na vyeti. Je unahakika hawajauliza na kupata Jibu.interest yako kubwa hasa ni Nini. Kwanini wote ni waongeaji sana. Tena hasa wapigaji .mi naona tungetulia basi vita viende then Wakati wewe unamchunguza makonda sisi tutakusubiri.

Usilete hapa majibu Nenda polisi kashtaki. Watu over 50,000,000 nyie mnadhani kazi ni kusoma insta tu tena kitu ambacho ukiamua hata ww unenda tu shule zote kuprove ili ujiridhishe .
Mbona unatetea ujinga, waliofukuzwa kwa vyeti hivyo,mbona utendaji wao ulikua mzuri kuliko makondakta,ishu ni kukiri kachaguliwa kwa cheti cha darasa la 7,haitakuwa na shida,7bu uanasiasa hauhitaji shule kubwa
 
Swali tu ndugu katika research yako umegundua kuwa kweli makonda kafoji vyeti. Kama ndio please kamshtaki mahakamani.

Pili why now kuhus vyeti hasa pale tu madawa yalipoguswa. ? Mana mak-alikuwa Mkuu wa wilaya .so mwenye akili Timamu ataona tu kuna namna.

Tatu kwa sasa wewe unadhani kwa Hali ya madawa unaonaje waendelee kupambana au waache Kwanzaa wadili na vyeti. Je unahakika hawajauliza na kupata Jibu.interest yako kubwa hasa ni Nini. Kwanini wote ni waongeaji sana. Tena hasa wapigaji .mi naona tungetulia basi vita viende then Wakati wewe unamchunguza makonda sisi tutakusubiri.

Usilete hapa majibu Nenda polisi kashtaki. Watu over 50,000,000 nyie mnadhani kazi ni kusoma insta tu tena kitu ambacho ukiamua hata ww unenda tu shule zote kuprove ili ujiridhishe .
Swala madawa lazima tupambane nalo usiku na mchana,lakin je,kwa style gani?yeye aliingilia police kazi yake,huwezi kumtangaza mtu,halafu ukamchunguze kwake,utakuta kitu kweli?Hiyo hata mtu hajaenda shule hawezi Fanya hivyo,ndio maana wakaamua kumchunguza vyeti vyake,Kamishna alieingia hatangazi lakini mafanikio yanaonekana,Yy aliingiza hili swala kisiasa na,chuki binafsi,ndio kinachomsumbua Sasa watu wamchunguze elimu yake
 
Swali tu ndugu katika research yako umegundua kuwa kweli makonda kafoji vyeti. Kama ndio please kamshtaki mahakamani.

Pili why now kuhus vyeti hasa pale tu madawa yalipoguswa. ? Mana mak-alikuwa Mkuu wa wilaya .so mwenye akili Timamu ataona tu kuna namna.

Tatu kwa sasa wewe unadhani kwa Hali ya madawa unaonaje waendelee kupambana au waache Kwanzaa wadili na vyeti. Je unahakika hawajauliza na kupata Jibu.interest yako kubwa hasa ni Nini. Kwanini wote ni waongeaji sana. Tena hasa wapigaji .mi naona tungetulia basi vita viende then Wakati wewe unamchunguza makonda sisi tutakusubiri.

Usilete hapa majibu Nenda polisi kashtaki. Watu over 50,000,000 nyie mnadhani kazi ni kusoma insta tu tena kitu ambacho ukiamua hata ww unenda tu shule zote kuprove ili ujiridhishe .
Majibu ya maswali yako nayo ni kwamba Makonda aende mbele ya watanzania na kuthibitisha kuwa hajaiba vyeti. There is no beating around the bush here. Plisi haeakutusimamia sisi watumishi wa umma tulipokuwa tunahakikiwa vyeti four times in six months
 
Kufanyia kazi rumors ni jambo jema serikalini makonda amefanyia kazi rumors za wanaojihusisha na madawa ya kulevya na watu wamekamatwa, Rais akafanyia kazi rumors za Kabwe akamtumbua, Ndalichako akafanyia kazi za watu kutokuwa wakweli na vyeti wanavyomiliki watumishi wengi wametumbuliwa.
Suala la vyeti ni suala uadilifu ktk utumishi wa umma, wala sio utendaji kazi kuna watu tulikuwa tunafanya nao kazi wako vzr sana performance yao ni ya hali ya juu lkn wametumbiliwa kwa sababu vyeti vyao havina ushirikiano tangu mwanzo. Je huyo makonda atasimamiaje uadilifu ktk utumishi wa umma wakati wakati ameshindwa kutoa ufafanuzi wa rumors za kofoji vyeti km kweli hajafoji na kama kafoji basi sio mwadilifu. Swala la vyeti vya makonda sio personal ni public kwa sababu ni kiongozi wa umma.
 
Swali tu ndugu katika research yako umegundua kuwa kweli makonda kafoji vyeti. Kama ndio please kamshtaki mahakamani.

Pili why now kuhus vyeti hasa pale tu madawa yalipoguswa. ? Mana mak-alikuwa Mkuu wa wilaya .so mwenye akili Timamu ataona tu kuna namna.

Tatu kwa sasa wewe unadhani kwa Hali ya madawa unaonaje waendelee kupambana au waache Kwanzaa wadili na vyeti. Je unahakika hawajauliza na kupata Jibu.interest yako kubwa hasa ni Nini. Kwanini wote ni waongeaji sana. Tena hasa wapigaji .mi naona tungetulia basi vita viende then Wakati wewe unamchunguza makonda sisi tutakusubiri.

Usilete hapa majibu Nenda polisi kashtaki. Watu over 50,000,000 nyie mnadhani kazi ni kusoma insta tu tena kitu ambacho ukiamua hata ww unenda tu shule zote kuprove ili ujiridhishe .
Acha ukuwadi jamaa kashusha nondo za uhakika ww unakuja na mipasho ya kwenye kibao kata hapa, taarifa ya Makonda kughushi vyeti kama ni uzushi si aje athibitishe km ni wauza madawa tu ndio wameamua kumchafua ktk mapambano yake dhidi yao ili jamii ijiridhishe kuliko huu ukuwadi unaotuletea hapa watu na akili zetu mchana kweupe.
Ni rahisi sana kuithibitishia jamii km hakughushi vyeti au ameghushi lkn anakwepa,makusudi tu.Ni ngumu kuithibitishia jamii kuwa fulani sina kisa nae wala haonewi ila ni kweli anajishughulisha na madawa lkn analifanya hilo,makusudi tu ..wenye akili zetu na wapenda haki TUMWELEWEJE mtu huyu???anatoa wapi uhalali wa kutokuzikanusha tuhuma zinazoelekezwa kwake hata km ni za msingi kiasi gani ilhali yeye anaweza tu kuamua kumtuhumu mtu yeyote yule kwa chochote kile tena anytime
 
Back
Top Bottom