Bajeti ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21

Ifikapo mwaka 2030 Shida ya maji safi na salama Tanzania huenda ikasalia kuwa historia tu

| Bajeti mpya ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21.

Rais Samia Suluhu Hassan kwenye bajeti yake ya maji ya kwanza tu alitenga jumla ya TZS 589.4BL

Fedha hii ni kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji wa maji safi na salama mjini na vijijini nchi nzima,

Bajeti hii ni sawa na ongezeko la 284% kutoka Tshs 207.5BL zilizotolewa kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji huo wa maji safi na salama FY2020|21,

Bajeti hii ya Rais Samia ni karibu maratatu zaidi ya ile ya mtangulizi wake Hayati Dkt John John Joseph,

Kwakuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mwanamke na kwakuwa zaidi 80% ya wanaopata adha ya maji mjini na vijijini ni wanawake

Rais huyu mwanamke tena aliye mnyenyekevu ameamua kwa vitendo " Kuwatua Ndoo Vichwani " wanawake wenzake

Rais Samia ametenga kiasi hiki kikubwa cha fedha kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji wa maji mjini na vijiji,

Mtakumbuka kuwa kiasi hiki cha fedha ya maendeleo hakijawahi kutengwa na Serikali yeyote tangu uhuru,Heko Rais Samia.

Tunafahamu wastani wa upatikanaji wa maji safi na salama mjini na vijini ni 79.15%,

Upataikanaji wa maji mjini ikiwa ni 86%,

Upatikanaji wa maji vijijini ukiwa ni 72.3% ,

Lengo la Serikali ni kufikia 85% mwaka 2025,

90% ifikapo mwaka 2035,

Lakini, kwa kasi hii ya Rais Samia Suluhu Hassan ambapo thamani ya bajeti ya maji ya mwaka wake mmoja ni sawa na thamani ya miaka mitatu ya bajeti ya maji ya Serikali iliyofanya makisio hayo,

Mwaka mmoja wa maji wa Rais Samia ni sawa na miaka mitatu ya maji ya mtangulize wake "

Uwiano ni 1:3 yaani malengo ya maji ya Miaka 10 kwenye Serikali iliyopita yatatekelezwa kwa miaka 3.3 tu na Rais Samia,

Kama kuna mtu wa kuombewa zaidi kwa sasa Tanzania basi ni Rais Samia Suluhu Hassan,

#Nchi yenu iko katika Uelekeo Sahihi zaidi pengine tangu kuasisiwa kwake miaka mingi iliyopita,

VIVA SAMIA VIVA ||VIVA TANZANIA VIVA

View attachment 2196046
Historia?

Never
 
Historia?

Never
Bajeti imeongezeka kutoka Bil.570 2021/2022 mwaka Jana hadi bil.709 mwaka ujao wa 2022/2023.

Never kwa sababu gani ikiwa tuko 86% ?

Screenshot_20220518-090428.png

Screenshot_20220518-090453.png

Screenshot_20220518-090643.png
 
Sio kushinda,ni ajabu Sana watu kila kitu mnaona hakitawezekana kitapigwa🤔🤔

Mbona hamna Imani na Serikali nyie ?

Subiria utekelezaji ndio uje kuhukumu 👇

View attachment 2229452
Kwa sababu kijiji changu hakina maji na hakuna dalili ya kuyaleta

nakuona unapiga blah blah tu hapa ndio maana nimeona nikupe ushindi.

Kwanza waziri wako katambi kasema kijana ambaya hajapata mkopo hapa TZ labda anaishi Kenya
 
Am speechless,

Hivi kumbe huyu mama anafanya kazi kubwa kiasi hiki?
Aise Mungu huyu, kumbe Samia ni mtambo mpya mwingine banda ya Mafuli aise,

Naandika nafuta,naandika nafuta, Mungu jalia mipango ya huyu Mama,
Mungu ni mwema, Rais Samia tumwombee tu,
 
Ifikapo mwaka 2030 Shida ya maji safi na salama Tanzania huenda ikasalia kuwa historia tu

| Bajeti mpya ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21.

Rais Samia Suluhu Hassan kwenye bajeti yake ya maji ya kwanza tu alitenga jumla ya TZS 589.4BL

Fedha hii ni kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji wa maji safi na salama mjini na vijijini nchi nzima,

Bajeti hii ni sawa na ongezeko la 284% kutoka Tshs 207.5BL zilizotolewa kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji huo wa maji safi na salama FY2020|21,

Bajeti hii ya Rais Samia ni karibu maratatu zaidi ya ile ya mtangulizi wake Hayati Dkt John John Joseph,

Kwakuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mwanamke na kwakuwa zaidi 80% ya wanaopata adha ya maji mjini na vijijini ni wanawake

Rais huyu mwanamke tena aliye mnyenyekevu ameamua kwa vitendo " Kuwatua Ndoo Vichwani " wanawake wenzake

Rais Samia ametenga kiasi hiki kikubwa cha fedha kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji wa maji mjini na vijiji,

Mtakumbuka kuwa kiasi hiki cha fedha ya maendeleo hakijawahi kutengwa na Serikali yeyote tangu uhuru,Heko Rais Samia.

Tunafahamu wastani wa upatikanaji wa maji safi na salama mjini na vijini ni 79.15%,

Upataikanaji wa maji mjini ikiwa ni 86%,

Upatikanaji wa maji vijijini ukiwa ni 72.3% ,

Lengo la Serikali ni kufikia 85% mwaka 2025,

90% ifikapo mwaka 2035,

Lakini, kwa kasi hii ya Rais Samia Suluhu Hassan ambapo thamani ya bajeti ya maji ya mwaka wake mmoja ni sawa na thamani ya miaka mitatu ya bajeti ya maji ya Serikali iliyofanya makisio hayo,

Mwaka mmoja wa maji wa Rais Samia ni sawa na miaka mitatu ya maji ya mtangulize wake "

Uwiano ni 1:3 yaani malengo ya maji ya Miaka 10 kwenye Serikali iliyopita yatatekelezwa kwa miaka 3.3 tu na Rais Samia,

Kama kuna mtu wa kuombewa zaidi kwa sasa Tanzania basi ni Rais Samia Suluhu Hassan,

#Nchi yenu iko katika Uelekeo Sahihi zaidi pengine tangu kuasisiwa kwake miaka mingi iliyopita,

VIVA SAMIA VIVA ||VIVA TANZANIA VIVA

View attachment 2196046
Andiko bora kabisa hili,Mungu tupe mvua Tanzania ipone
 
Hizo hela watu walishapiga wamejenga vituo vya mafuta kusubiri kukinga billioni 100 kila mwezi.
 
Uchawa umekuaibisha sana kusifia kitu kisichokuwepo na wananchi kwa sasa wakiteseka kutafuta maji kwa gharama kubwa
 
Back
Top Bottom