Tatizo la maji na kutoongezeka kwa watanzania wapya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la maji na kutoongezeka kwa watanzania wapya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JOYCE PAUL, Jul 9, 2012.

 1. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2012
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mhe .lusinde akichangia hoja jioni hii" tatizo la maji linawanyima wanaume kuweza kutengeneza watanzania wapya kwani muda wakuwatengeneza watanzania wapya wao wanakwenda kuteka majii.siasa hizi jamani ,asa bora tatizo la maji liendelee maaana bila hivyo watanzania mtazaa kila baada ya miezi 9..
   
Loading...