Tatizo la maji: Mtambo Ruvu Juu na usanii wa Dawasa, Waziri Aweso ingilia kati

LUS0MYA

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
862
1,097
Kwa takribani wiki tatu kumekuwa na tatizo kubwa la maji kwa maeneo yanayohudumiwa na mtambo wa Ruvu Juu hususan Kibaha, Mbezi Luis, kimara nk.

Cha kushangaza tarehe 12/01/22 Dawasa wametangaza kukosekana kwa huduma kwa masaa 16 kuanzia tarehe tajwa wakati tayari watu hawana maji kwa muda mrefu.

Kwa taarifa tu kwa sasa biashara ya maji kwa magari inayoratibiwa na Dawasa imerudi kwa kasi sana na wanachi tunauźiwa maji 30,000 kwa tenki la lita 2000. Wafanyakazi wasio waaminifu wanaachia maji kwa pressure ya chini ili wenye biashara wasikose maji.
 
Kama uko karibu na mtumishi wa serikali mzabe kofi ili aone maumivu tunayopata
 
Back
Top Bottom