Tatizo la Maji Moshi mkoani Kilimanjaro

Nyinyi si mnasemaga mlishaendelea tokea uhuru! Wachaga acheni sifa zisizo na kichwa wala miguu! Mnalia nini wakati nyie mna rami na mabomba ya maji tokea uhuru!
Miaka 60 ya Uhuru hujui Moshi na Same na mwanga ni tofauti!?? Pole sana
 
Hapo Moshi Kuna shida nyingi sana ila Kwa vile wanaishi wale wataalamu wa kujisifu na kujiona Bora kuliko Watanzania
Mtakufa na tai shingoni kama Mjerumani
Ukweli ni kwamba hii nchi Kila upande una changamoto zake
Moshi pazuri ila mzunguko wa pesa ndio tabu ila kimazingira
 
Huku marangu kilema na kirua kwa sasa hatuitaji maji mala barabara

Tunaomba raisi atuwekee taa za barabaran na free wife internet tuendelee kula maisha
 
Baada ya ccm kupora nadaraka moshi imekuwa ovyo kabisa
Maendeleo ya Moshi yameletwa na wana Moshi wenyewe, hatujawahi kutegemea chama wala mwanasiasa kutuendeleza. By the way ww unazungumzia jimbo la Hai ambapo mwenyekiti wa Chadema alitupiwa chuma za maji, alizomewa na kushushwa jukwaani baada ya wapiga kura wake kugundua kuwa jamaa alichukua pesa za jimbo akaenda kula bata Dubai na familia yake huku akiwaacha wapiga kura wake wakikosa huduma muhimu alizowaahidi.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom