Tatizo la maji katika baadhi ya maeneo ya jiji la Mwanza ni aibu kwa Mwauwasa!

Manelezu

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
1,907
2,768
Jiji la Mwanza limebarikiwa kuwa na chazo kikuu cha maji, Ziwa Victoria, baadhi ya mikoa ya jirani kama Shinyanga na Tabora yanapata maji kutoka ziwa victoria lakini inashangaza maeneo ya jiji kama vile kiseke, Buswelu, Mahina, Nyamongoro etc, yamekuwa yakipata maji kwa mgao kwa muda mrefu huku mamlaka husika (MWAUWASA) wakishindwa kutatua hili tatizo.
Ni aibu kubwa kwa maeneo ya jiji kama haya kukosa maji wakati kuna chanzo kikubwa cha maji ya ziwa victoria.
Natoa ombi kwa mamlaka husika kutatua tatizo hili!
 
Hahaha wananchi ndio wanataabika wewe unaongelea aibu kwa muwasa?!
Vipi ziwani pia yamekauka?!
 
Back
Top Bottom