Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

hourSlide Yr 8 8 65,000 6tuytt 8
Hellow wadau!


Ndg yangu anasumbuliwa na fangasi ukeni kwa muda mrefu, ametumia anibiotics mbalimbali na dawa nyingine nyingi zikiwemo za kuinset ukeni lakini hajapata nafuu kwa maana ugonjwa huwa unaondoka na baada ya muda unarejea. Na hili limewahi hata kusababisha ujauzito kutoka.

Naomba msaada ni wapi tunaweza pata mtaalamu wa kumaliza tatizo hili sugu kwa ndugu yetu maana tulianza zahanati mbalimbali za hapa tunapoishi, hospitali ya rufaa mkoa na hata baadaye tulisafiri hadi Regency hospital Dar es Salaam na bado tatizo hili halijakwisha.

Tafadhali tunaomba msaada.

Natanguliza shukrani za dhati.
Text you copy will automatically show herePin copied text snippets to s3f6Text you copy will automatically show herestop them expiring after 1 hourPin copied text snippets to stop them expiring after 1 hourText you copy will automatically show herePin copied text snippets to stop them expiring after 1 hourPin copied text snippets to stop them expiring after 1 hour grade gdy65u
 
Wakuu nisaidien namna ya kuweza kuona thread ambayo labda nililenga kuirudia baadae, kiufupi kuna uzi flan alileta mwamba mmoja namna ya kudili na tatizo la fangasi kwamba unameza vidonge flan kwa wiki mbili. Nisaidiwe.
 
MBA:
Saga vidonge 3 au 4 vya septrine (contrimaxle) hadi upate unga laini ,
changanya na mafuta ya mgando (km Vaseline) mls 30 au 40.
Paka mchanganyiko huo sehemu iliyoathirika.
 
Habarini waungwana kwa majina ni twalib naishi Kinondoni,

Nina sumbuliwa na fangasi sugu ambayo imesha ingia kwenye damu tayari inanisumbua sana kwani sehemu ya siri inawasha sana na inatoa vipele vidogo sana ambapo baadaye kuna tengeneza kama ukungu na ambavyo havionekani vizuri.

Nikikutana na mwanamke kichwa kinatoa magamba na ukiangalia kama kuna kuwa na vidonda kwa ndani nimetumia dawa nyingi mpaka Muhimbili nimeenda ila bado.

Please mwenye kujuwa dawa anisaidie no zangu +255692224990
 
Aisee pole sana...

Niliwahi kupata hao fangas sugu nilihenyeka miezi sita mpaka kidogo niwe mwendawazimu.

Pumbu linauma kama umemwagiwa Tindikali. Alooh!

Nilitumia madawa yote ikashindikana! Nilibabuka pumbu kama chatu!! Abduli kichwa wazi naye alishambuliwa vibaya sana.

Ilikuwa ni mwendo wa kubandua maganda na kutumbua vidonda.

Nilibadilisha sehemu ya kuogea na kwenda haja kubwa nikapona tu automatically!!

Believe me, chooni na bafuni kuna fangasi wengi mnooo kama mnatumia watu wengi!! Acha kabisa kuoga kwenye hilo bafu au hicho choo kama inawezekana.

Ikibidi hama hiyo nyumba kama umepanga!

Kama ni nyumba yako basi hakikisha unasafisha hilo bafu na choo kwa dawa kali za anti-fungal na anti-bacteria.

Ugua pole.
 
Na piaa hakikisha unafua nguo zote na matandiko yote. KISHA PIGA PASI ZOTE.

Vaa boksa moja kwa siku moja tu au hata kwa masaa kisha badilisha.

Usichangie choo wala bafu wala usishike shike maji ya chooni yanayotumiwa na watu wengi.

Baada ya wiki mbili hao fungus wote wataisha! Na watakaobaki watashambuliwa na kumalizwa na immune system yako ya kwenye ngozi maana watakuwa wachache.

Nasisitiza.... BAFU NA CHOO!!
 
ushauri mzuri; Hakikisha bokxa unazovaa Ni Safi,. pia nunua mafuta ya nazi ya buku tu uwe unapaka mapumb.... kila ukitaka kuvaa boxa kila siku ili kukata unyrvunyrvu!

nyoa nywele za sehem zako za Siri kila Mara usiache zikue! safisha sink la choo kabla ya kutumia rndapo Ni nyumba ya kuchangia!

Hakikisha unanawa kila baada ya tendo! epuka kukaa na janaba baada kufanya mapenzi bila condom
 
tumea tube moja inaitwa fungal vita c niadim lakin jalib kuitafuta.. m imenisadia sana na nemetumia clotrimazole cream nyinhe lkn iyo ndio kiboko...ukienda phamacy watakwambia chukua ie inafanya kaz km fungal vita c...usikubali itafute yenyewe
 
  • Thanks
Reactions: PYD

Similar Discussions

Back
Top Bottom