Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Kuna uzi kama huu ulishawahi kuwekwa humu kuna msamaria akatangaza dawa ya kutengeneza mwenyewe na thaman yake ni buku jero ila no ya uhakika nimetutumia ni mdogo wangu nae zilimtesa mda mrefu sasa anaikibali dawa yenyewe ni kama ifuatavyo kanunue vidonge kumi vya septrin na mafuta kikopo jelly haswa baby care kile kidogo saga vile vidonge had viwe unga kabisa kisha changanya na yale mafuta had ichanganyike kabisa....kisha baada ya hapo paka asubuhi na jioni utajiome muujiza hizo zinginw ndugu unapoteza muda tu.
 
[quote uid=244489 name="youngkato" post=18185024]tatizo LA fungus limekuwa tatizo kubwa sana yan watu wanamwaga pesa zao kwa kununua dawa za kila INA lakini WAP...yan ukitaka kuamini jarib kwenda kila duka LA dawa unalolijua utaishia kupewa gresiofulvin,amphotelicin B,ketoconazole tabs na cream yake, fluconazole n.k..lakini kiukweli hizo dwa ni slow reacting drugs compared na fungal resistivity...kuna dawa kama fluconazole 200gm na Tarbenafile ndizo zinaweza kabiliana na tatizo hill but ni so expensive sana kwa mf .fluconazole 200gm inauzwa kidonge kimoja 2000 na unatakiwa utumie dozi moja complete yenye vidonge 15 so u can see ver very expensive...na ukiajidanganya kutumia vidonge 7 hutapona mpka umalize dozi...hata kwa terbinafile napo ni hivo hivo kama unaweza nenda medical shop mwambie akupe fluconazole 200 gm na sio 150gm yan hapo rudi unipe jibu na usidanganywe kupewa 150 gm ujue Aziponi...&lt;br /&gt;&lt;br /&gt;but pia kuna hi I dawa ambayo ndo the best than ever known to most of people...yan watu wanakimbilia kununua dawa za fungas lakini wahaponi...fungus wanapovami mwili wako ni ngumu kutoka kama mwili wako utakuwa na chunus mgongoni au sehemu fungus zilipo...pale kunakuwa na multiple infection au utapata double infection ambayo kwa sasa tuliosomea mambo a skin I diseases au dermatologist tunaita una bacterial fungal infection so kama una MBA au fungas zilizoshindikana usitumie tena dawa yoyote ile ya fungas ila kuna dawa moja hivi ambayo kiukweli ndo itamaliza kila kitu inaitwa Septrin....&lt;br /&gt;&lt;br /&gt;chukua septrin za 1000 halfu chukua mafuta madgo ya 300 aina ya baby care au Vaseline..(tafadhali usichanganye na lotion)&lt;br /&gt;saga ile dawa au vile vidonge vyote mpka hakikisha vimekuwa unga haswa...&lt;br /&gt;halafu changanyana mafuta mgando yako kwenye kikope like ..hakikisha unafanya mkologo wa maana...&lt;br /&gt;&lt;br /&gt;then ukimaliza use unajipaka asbuhi kila unapomaliza kuoga unaenda kufnya mishe zako halafu jioni unaoga tena kisha unapaka tena...&lt;br /&gt;yani for sure I give you two weeks hakuna hata DOA litakalobaki hapo na utakuja kutueleza juu ya maendeleo yako..&lt;br /&gt;&lt;br /&gt;ukiona hujapona fungas badaa ya hiyo kazi bas namba uje hapa JF na azisha Uzi mwingine kwa kunitaji jina langu ili mnihoji juu ya fake advice I give you...&lt;br /&gt;for sure hutaamini machoni mwako yani ni dawa itakayokugalimu kama 1000 lakini utakuwa umepona milele narudia tena milele na milele badala ya kuendelea kutumia dawa ambazo ni garama kubwa sana lakini hakuna lolote...only septrin is the final drug of choice for bacterial fungal infection...&lt;br /&gt;naomba kuanzi Leo usinunue dawa yoyote ile ya fungal make kwanza izo dawa ni very very toxic sana kadri unapozidi kuzitumia..wale wataalamu wa afya watakubaliana na Mimi kuwa ketoconazole is the best liver inducing toxic drug na Mara nying husababisha kidney failure kwa akina mama wajawazito hata felt death can occur..ndo mana tumeitoa kwenye normal drug routine uses...&lt;br /&gt;&lt;br /&gt;cha msingi ndg yangu kafanya kama nilivokuambia na wengine ambao mlikuwa hamjui juu ya siri kubwa ya septrin kutibu chronic fungal infections including systemic spread au local spread ila dawa take ndo hiyo..&lt;br /&gt;nakutakia mafanikio mema mkuu...&lt;br /&gt;uaiaite kunipa mrejesho ...[/QUOTE]<br />Are you sure?
 
Kuna uzi kama huu ulishawahi kuwekwa humu kuna msamaria akatangaza dawa ya kutengeneza mwenyewe na thaman yake ni buku jero ila no ya uhakika nimetutumia ni mdogo wangu nae zilimtesa mda mrefu sasa anaikibali dawa yenyewe ni kama ifuatavyo kanunue vidonge kumi vya septrin na mafuta kikopo jelly haswa baby care kile kidogo saga vile vidonge had viwe unga kabisa kisha changanya na yale mafuta had ichanganyike kabisa....kisha baada ya hapo paka asubuhi na jioni utajiome muujiza hizo zinginw ndugu unapoteza muda tu.
Fungus husababishwa na wadudu candidas ambao wameweka maskani tumboni na hata ukiwatibu kwenye ngozi nje huwamalizi. google home remedy for fungus utaelekezwa njia nyingi mojawapo kutumia apple cider vineger. Best of luck
 
Salaam wakuu.

Maandishi haya ninayaandika usiku saa nane kamili. Wakati ambapo korodani zinaniwasha mno. Nakosa amani.

Wakuu nina tatizo la korodani kuwasha tangu mwezi wa nne mwaka jana. Nimetumia dawa nyingi mno but sijapona. Nimezunguka hosipital za Kairuki na Muhimbili wananipa dawa but sijapona. Nikitimia dawa, tatizo linaisha wiki mbili linarudi.

Najiweka mazingira ya usafi mno, naoga mara tatu kwa siku pengine kuzuia joto kwenye korodani but haisaidii.

Hizi ni baadhi tu ya dawa nilizowahi kutumia

58cd21217b2af3531f10876e5168032c.jpg

Naombeni msaada tu hata wa ushauri nifanyeje ili niondoe hili suala.

Natanguliza shukran.
 
Jipulizie Hit au Xpell au Doom utakua na wale wadudu tu ka chawa katka vinyoleo vya korodani...
Lkn hakikisha kabla ya kupulizia Xpell hakikisha umelala kifo cha mende na mbele yako feni inapulizia hizo Mali Asili baada ya kujipulizia Xpell au Hit
 
Mkuu unajua haya mambo hayataki utani hili jukwaa serious,mtu anaumwa halaf ww unamwambia mambo dhihaka si jambo jema
 
Sio utani mkuu wakti mm mwenyewe nilshapatwa na janga hilo..nlichepuka na kakinuka mkojo kakaniachia wale wadudu.nliteseka nao hasa kila nikinyoa wanarudi tu.dawa na dawa nkiweka wanapotea tu kisha wanarejea..cku moja ka utani nikajaribu kujipulizia dawa ya mbu aina ya Xpel..nliskia ka kunawaka moto nkajiwahi chini ya pangaboi lkn dk5 tu nlisahau maumivu hadi Leo nipo shwari mkuu
 
Jamaaan na mm nahisi hayo maumivu toka nimekuja dar mwaka jana mwishoni nikahisi ni mazingira tu kumbe ndo fangasi
 
Jipulizie Hit au Xpell au Doom utakua na wale wadudu tu ka chawa katka vinyoleo vya korodani...
Lkn hakikisha kabla ya kupulizia Xpell hakikisha umelala kifo cha mende na mbele yako feni inapulizia hizo Mali Asili baada ya kujipulizia Xpell au Hit
Mkuu sijakusoma.
 
Kuna uzi kama huu ulishawahi kuwekwa humu kuna msamaria akatangaza dawa ya kutengeneza mwenyewe na thaman yake ni buku jero ila no ya uhakika nimetutumia ni mdogo wangu nae zilimtesa mda mrefu sasa anaikibali dawa yenyewe ni kama ifuatavyo kanunue vidonge kumi vya septrin na mafuta kikopo jelly haswa baby care kile kidogo saga vile vidonge had viwe unga kabisa kisha changanya na yale mafuta had ichanganyike kabisa....kisha baada ya hapo paka asubuhi na jioni utajiome muujiza hizo zinginw ndugu unapoteza muda tu.
sure niliitumia hii na ilinisaidia sana
 
TUMIA CREAM KAMA SONADERM KISHA ZIKIPOTEA MEZA VIDONGE(kaombe prescription kwa daktari) kisha Fanya usafi kuanzia paint ya nyumbani kwako na nguo ulizokuwa ukizitumia wakati unaumwa fangas, zichome zote nunua nguo mpya Kabisa(hakikisha unachoma zote isibaki hata leso) ....
Hii imekaa kitaalamu sana. Big up Kiongozi.
 
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, mimi ni wmanaume miaka 25, nilianza kushambuliwa na fangasi nikiwa form two 2007, mpaka naandika huu uzi nimehangaika zaidi ya miaka kumi bila kupata mafanikio,

Nimezunguka hospitali kubwa na ndogo natumia dawa bila mafanikio, nimetumia dawa nyingi za kienyeji bila mafanikio. Fangasi wa kwenye (tests) ngozi ya pumbu sehemu ya pembeni.

Naomba masaada wa dawa ambayo itanisaidia kupona kabisa maana nakosa furaha ya kuishi.

Nb: nimefanya vipimo vyote vya magonjwa ya ngozi vinaonsha ni fangasi.
Pole, mimi nilikuwaga nazo za miguuni. Zilinitesha balaa. Nilipokwenda kumsalimia bi mkubwa(Mama) nikapata na dawa hukohuko, akaniambia nipake utomvu wa papai bichi lililo changa. Nilipaka. Baada ya siku 3 tatizo kwisha.
Angalizo. Ni lazima uwe mvumilivu kidogo, inauma sana ndani ya 24 hrs. Baada ya hapo huwa powa kabsaaaaaaaaaaaaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom