Tatizo la LG G6 kutoplay YouTube na kubrowse Google

Nyambiza jr

JF-Expert Member
Oct 5, 2018
1,030
1,825
Wajameni vipi watu wa Technology especially CHIEF MKWAWA.

Simu ya LG G6 inakataa kuingia YouTube na kubrowse internet ila social network inakubali.

Tatizo sio kifurushi maana baada ya kuweka kifurushi cha wiki na kukataa ikabidi tuweke salio la kawaida na tatizo likawa lile lile.

Mtandao ni Vodacom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona simu inachagua apps ujue inatumia setting za wap/web

Nenda setting then kwenye connection angalia cellular network ama mobile network kisha ingia access point name angalia setting za internet ni wap ama web?
 
wakati mwingine inasababishwa na error into login gmail...nenda setting>account>google(gmail) hakikisha iko sync to all setting
 
Back
Top Bottom