Tatizo la kuwepo vifo vya ghafla kwa watu wenye afya njema

Faridi

JF-Expert Member
Apr 2, 2008
672
274
Kumekuwepo na tatizo la vifo vya ghafla sana tena kwa watu ambao wana afya njema na hii inatokana na kuamka ghafla usiku ambapo ubongo hukisa damu ya kutosha.

Unapoamka katikati ya usiku kwenda kujisaidia haja ndogo mfumo wa damu unakuwa umebadilika, kwa sababu kuamka ghafla,kinakuwa hakuna mzunguko wa kutosha wa damu kwenye ubongo unaosababisha moyo kushindwa kufanya kazi kutokana na ukosefu wa damu.

Ushauri: Tumia dakika 3 na nusu kufanya yafuatayo:-

1. Unapoamka usingizini lala kitandani kwa nusu dakika.

2. Kaa kitandani kwa takribani nusu dakika.

3 Shusha miguu,kaa pembeni ya kitanda takribani nusu dakika.

Baada ya dakika 3 na nusu hutakuwa na tatizo la ukosefu wa damu kwenye ubongo na moyo kushindwa kufanya kazi inapunguza uwezekano wa vifo vya ghafla na kuanguka ghafla.
 
Watu wengi sana wanakufa ghafla bafuni,kutakuwa na sababu Fulani Hivi ya kisayansi
 
Tatizo kubwa ni DHAMBI, DHAMBI, DHAMBI

PIA LAANA YA WANAOONEWA.
 
Kumekuwepo na tatizo la vifo vya ghafla sana tena kwa watu ambao wana afya njema na hii inatokana na kuamka ghafla usiku ambapo ubongo hukisa damu ya kutosha.

Unapoamka katikati ya usiku kwenda kujisaidia haja ndogo mfumo wa damu unakuwa umebadilika, kwa sababu kuamka ghafla,kinakuwa hakuna mzunguko wa kutosha wa damu kwenye ubongo unaosababisha moyo kushindwa kufanya kazi kutokana na ukosefu wa damu.

Ushauri: Tumia dakika 3 na nusu kufanya yafuatayo:-

1. Unapoamka usingizini lala kitandani kwa nusu dakika.

2. Kaa kitandani kwa takribani nusu dakika.

3 Shusha miguu,kaa pembeni ya kitanda takribani nusu dakika.

Baada ya dakika 3 na nusu hutakuwa na tatizo la ukosefu wa damu kwenye ubongo na moyo kushindwa kufanya kazi inapunguza uwezekano wa vifo vya ghafla na kuanguka ghafla.
hapo umeruhusu walevi wajikojolee kitandani eeeh??
 
Nzuri sana,thx
 
mimi huwa nafikiri ivyo vifo vya ghafla ni kutokana na vidonge vya Arvs kuboreshwa na kuuwa mwili taratibu, na ikifikia mda wa kushindwana na mwili ndipo mtu uhai hutoweka. Watu huoneka wenye afya tele ila baadhi ni watumiaji wa izo dawa
 
Asilimia kubwa ya vifo vya ghafla ni Cardiac arrest, Moyo unasimama kupiga ghafla tu kutokana na matatizo kama presha ya kupanda nk
 
Ningependa kujua huu ushauri ni wakidaktari au ni kwa utashi wako, japo nauona kama unamashiko
Ndugu yangu mimi ushauri nimepewa na daktari, sasa na mimi nisingeweza muuliza umeupata wapi, na sikuona kama una madhara yeyote basi nikaona ni share na wengine. Sasa hili ni chaguo la kila mtu binafsi anaeona ushauri uliotolewa unaingia akilini sawa, anaeuona atapenda aufanyie utafiti zaidi sawa na pia atakaeamua kuu dismiss kabisa pia yuko sawa, kwangu mimi ni kati ya wale nimeuona unaingia akilini na hata kama hauko sawa, ushauri alionipa hauna madhara kwangu.
 
Afya za watu tunaziamua kwa kuangalia kumbe wengi tu wagonjwa wa kulazwa. umdhaniae ndie, sie.
 
Back
Top Bottom