Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

dear all...

nina hali ya kuwashwa mwili sehem tofauti tofauti na kwa vipindi tofauti....hasa usiku..nimeende hospitalini nikapewa dawa ya vidonge na ya kupaka...ila bado sioni nafuu...kwa sasa nawashwa sana mapajani,kifuani pembeni na sehem ya mapajani...japo baadae muwasho waweza kuhamia sehem nyingine...naomba mnisaidie
Nami nimepatwa na tatizo kama hili kuwashwa sanaa nyakati za usiku mapakanii hasaa...
 
Attachments

  • 20190518_023039.jpg
    20190518_023039.jpg
    73.2 KB · Views: 66
ni tatizo ambalo limejitokeza kwangu takribani miaka mitatu iliyopita hadi sasa! mara tu nimalizapo kuoga ninaanza kuwashwa mwili mzima kwa muda usiozidi dakika 15 na wakati mwingine unapojikuna vipele vidogovidogo hutokea. tatizo hili linaninyima raha mno kwa anaefahamu dawa anisaidie na pia si mbaya kama utanieleza chanzo cha tatizo.
Nilijua niko peke yangu na imenitokea miaka mingi sana hadi nimepuuza ila uchunguzi wangu umebaini nikioga maji baridi nawashwa zaidi,jasho likitoka afu likakaukia mwilini nikachelewa kuoga ntakapooga mwili unawasha na nikichukua zaidi ya siku mbili sijaona
ni tatizo ambalo limejitokeza kwangu takribani miaka mitatu iliyopita hadi sasa! mara tu nimalizapo kuoga ninaanza kuwashwa mwili mzima kwa muda usiozidi dakika 15 na wakati mwingine unapojikuna vipele vidogovidogo hutokea. tatizo hili linaninyima raha mno kwa anaefahamu dawa anisaidie na pia si mbaya kama utanieleza chanzo cha tatizo.
Na mm nimo mkuu na miaka mingi sasa toka limenikumba but nilisha ignore ila kuoga maji ya moto na jasho likitoka before halijakauka mwilini kaoge na pia jasho likitoka usilale bila kuoga
 
dear all...

nina hali ya kuwashwa mwili sehem tofauti tofauti na kwa vipindi tofauti....hasa usiku..nimeende hospitalini nikapewa dawa ya vidonge na ya kupaka...ila bado sioni nafuu...kwa sasa nawashwa sana mapajani,kifuani pembeni na sehem ya mapajani...japo baadae muwasho waweza kuhamia sehem nyingine...naomba mnisaidie
Kama bada hujapona.

Unapata vipele kwenye kiwiko(kipepsi)? Luna vipele vidogovidogo vidoleni? Unawashwa Sana usiku ukilala? Unasikia vitu kama vinakutembea mwilini? Kuna saa unawashwa kiunoni?

Kama unapata his dalili nijibu nikuelekeze dawa pharmacy.. Zinauzwaga 8,000 -10,0000( elf nane hadi kumi)
 
Mie nasumbuliwa na muwasho wa vinyweleo vya pua , mafua na chafya nyingi sana. Na pia muwasho wa sehemu za shingo , kifuani na mgongo upande wa mabega. Nimetumia dawa nimechoka sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari ya leo na poleni na majukumu wana jamvi,

Mimi ni mwanafunzi wa chuo fulani hapa jijini Mbeya, ila tangu nihamie hapa kutoka Mtwara ninawashwa mwili mzima vibaya sana, hii hali hutokea pale joto la mwili likipanda, kama nikiwa nakula, nikijifunika blanketi, na hata nikitembea na hasa nikitembea kwenye jua yaani ngozi inachomachoma sana.

Nimejaribu kutembelea hospital kadhaa hapa Mbeya napewa theories tofauti, mara naambiwa na tatizo la Eczema, mara naambiwa na reaction ya ngozi kwenye baridi yaani naambiwa vitu vingi na napewa dawa na sindano ila vinasaidia kwa muda mchache tatizo linarudi tena, na linarudi kwa kasi mno, maana sasa nawashwa hata nikiwa kivulini.

Kitendo cha mwili wangu kupata joto kidogo tu nawashwa sana hadi inafikia hatua ngozi inauma na inatoka vipele vidogo vyekundu ila baada kama ya saa moja muwasho unaisha na vipele vinapotea. Nikirudi nyumbani likizo siwashi hata kidogo. Naomba msaada wenu maana nina safari ndefu ya kukaa hapa na hii hali inanitesa mno.

Natanguliza shukrani, Jibazo
 
  • Thanks
Reactions: amu
Hyo hali ya mwili kuchoma choma hata mm pia nnayo mkuu hasa nkipgwa na jua sanasana kama jana yake skuoga au hta nkioga lkn huwa ni nusu saa baada ya hapo nadunda tuu

yess BiShoo haswaaAaa
 
habari,

Nina tatizo la kuwashwa sehem mbalimbali za mwili ikiwemo tumboni karbia na kitovu, kwenye mapaja,, hadi katika uume pia na sehem nyingine nying nishazunguka hospital nkapewa dawa mbali mbali ikiwemo cetrizine lakini hakuna mabadiliko chanya, muwasho ndiyo unazidi na mapele kuongezeka pale ninapowashwa.

naombeni msaada wenu ni dawa gani nitumie kwa maana hii hali inasababisha mpaka nakosa vipindi kwa baadhi ya siku.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom