Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara linasababishwa na nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara linasababishwa na nini?

Discussion in 'JF Doctor' started by Chimunguru, May 12, 2010.

 1. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Habari JF Doctor na wana jamii wote.

  Mdogo wangu wa kiume (23yrs) ana tatizo la kuwashwa mwili mzima tokea mwaka 2002. Nimezunguka naye takribani hospitali zote kubwa hapa Dar lkn hatujafanikiwa kupata ufumbuzi wa tatizo lake.

  Kwa ufupi ni kwamba alianza tu kuwashwa jichoni, macho yakavimba, akaenda hospital (Burhani) akapatiwa dawa za kutuliza allergy (cetrizine) ile hali ikatulia kwa siku mbili tu, ya tatu mwasho ukarudi tena.

  Tukaenda Aga Khan akacpimwa kuanzia choo, mkojo, damu lkn hakukutwa na minyoo, wala gonjwa lolote la zinaa akapewa tena cetrizine na ndizo anaendelea nazo mpaka leo kutumia, miaka nane sasa ule mwasho bado upo.

  Akijikuna pale panapowasha panavimba mithili ya mdudu amekukojolea au mithili ya mtu aliyewashwa na washawasha, na ni mwili mzima unakuwa unawasha, mpaka anywe cetrizine ndo muwasho unatulia, hii dawa hutuliza kwa km siku nne tu baada ya hapo muwasho pale pale. Alishameza dozi za fungus kama mara nne hivi kwa siku kumi na tano lkn tatizo bado lipo pale pale.

  Hofu yangu ni kuwa hizi cetrizine zinaweza zikamletea madhara in a long run. Sasa daktari saidia hapo yawezekana ni nini sababu ya huu ugonjwa?
  Hapa chini ni Michango ya Baadhi ya WanajamiiForums waliochangia kuhusiana na tatizo hili...

   
 2. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2010
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,798
  Likes Received: 6,307
  Trophy Points: 280
  Mi nadhani kuna kitu huwa anakula ambacho ana allegy nacho. Mwambie ajichunguxe vizuri - siku muwasho ukianza tu, akumbuke amekula nini na nini. Na inaonekana ni chakula anachokipenda maana huu muwasho ni wa muda mrefu.

  Kuna ndugu yangu alikuwa akila karanga tu, atawashwa na kuvimba sana. Tulipogundua, mpaka leo karanga hagusi na lile tatizo limeisha

  Ingawa jibu langu si la kisayansi zaidi, is worth trying, inaweza kumsaidia
   
 3. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #3
  May 12, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  umezunguka kote kwa imani za kimwili lakini hazijasaidia kitu
  nakushauri pia uende kwenye imani roho, yaani kanisani JESUS is only
  one can cure that problems
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  May 12, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Thanks kwa mchango wako Sinyolita, itabidi nikae nae nimuulize ni nini anapendelea kula kwa sana ajaribu kuacha tuone responce inakuwaje
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  May 12, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  AMEN! hili nalo neno
   
 6. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #6
  May 12, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  ndugu hizi imani za kutukaza kula baadhi ya vyakula kwa madai ni areji ni mbaya sana, Mungu alimpa mwanadamu ruhusa ya kula, hata miye nilikuwa sioti nywele kwa mda wa miaka 3 nikiwa mdogo wakadai ati nisile samaki aina ya kambale, na kitimoto yaani n yama ya nguruwe, lakini ilikuwa ni ngumu kidogo, kwenye kitimoto, nikaenda church,
  nikaombewa na sasa sina tatizo la namna hiyo, vitu vingine ni roho chafu tu
   
 7. B

  Bawa mwamba JF-Expert Member

  #7
  May 12, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mungu aliumba wanadamu,magonjwa na vifo.vyote hivyo aliviweka ili tusijisahau na tuwe karibu nae pindi vinapotusibu,.akatujalia imani ili tumwangukie na kumwangalia yeye.akatupa akili ya utambuzi toka enzi za adamu na hawa na kutupa ruhusa ya kuvipa majina vile alivyoviumba na pia kivisifu,pia aliumba kazi ili binadamu wategemeane na akazibariki ,navile vile kuwaonyeshea kidole wale wazitumiavyo ambavyo sivyo,nakuwaambia hawata uona ufalme wake[mafarisayo,watoza ushuru] na pia kupitia watendaji wake,aliwakumbusha binadamu umuhimu wa kumpa kaiza kwa yaliyo yake kaiza na kumpa mola yaliyo yake .pia watendaji hao hao walikumbusha umuhimu wa afya na kusema mwenye afya hamuitaji daktari bali ni kwa wale walio wagonjwa.[musa aliinua nyoka wa shaba na kusema uumwapo na hawa basi muangalie huyu nawe utapona,.kuzingatia hilo ndio maana alama yao ni msalaba na nyoka] tafsiri ya imani ya dini inaharibiwa,.bongo nilipata mgonjwa ambaye ndugu zake walikataa asiongezewe damu,kisa ni Shahidi,...,.sitaki mjadala wa kiimani, ila dini inatumiwa vibaya na kugharimu maisha ya watu,.inapaswa kuchanganya elimu zote,.ya dunia na ya kidini[ a.ya mwenzako changanya na yako,.]
   
 8. f

  fimbombaya Member

  #8
  Apr 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  ni tatizo ambalo limejitokeza kwangu takribani miaka mitatu iliyopita hadi sasa! mara tu nimalizapo kuoga ninaanza kuwashwa mwili mzima kwa muda usiozidi dakika 15 na wakati mwingine unapojikuna vipele vidogovidogo hutokea. tatizo hili linaninyima raha mno kwa anaefahamu dawa anisaidie na pia si mbaya kama utanieleza chanzo cha tatizo.
   
 9. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #9
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Dawa pekee ni kuoga mara tatu kwa siku,ngozi yako inamafuta mengi na unapooga jaribu kujisugua na face towel pia hot water ni bora zaidi.
   
 10. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  I thought niko peke yangu who have this problem!!mzee am glad that u posted this topic,ngoja tuone wengine wana ujuzi gani juu ya hili
   
 11. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Labda una allergy na maji ya baridi. Jaribu kutumia maji ya moto, ukiona tatizo linaendelea muone daktari
   
 12. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #12
  Apr 20, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Unatumia aina gani ya sabuni? Jaribu kufanya upelelezi ubadilishe sabuni halafu uone jee kuna mabadiliko yo yote?
   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  Apr 20, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  pia maji na taulo analojifutia .
   
 14. f

  fimbombaya Member

  #14
  Apr 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  natumia giv
   
 15. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #15
  Apr 21, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Ogea sabuni ya Tetmosol
   
 16. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #16
  Apr 21, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Jaribu sabuni ambazo hazina perfume kama lifebuoy.

  Ukiona hakuna mafanikio jaribu hizi medicated (siyo zenye mercury)
   
 17. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #17
  Apr 22, 2011
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 877
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  me natatizo ka lako.nimetumia sabun tofauti tofauti lakin tatizo lipo palepale,sa hiv naoga maji ya moto kidogo limepungua!!!
   
 18. myhem

  myhem JF-Expert Member

  #18
  Apr 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Unatumia maji ya kisima au bomba? Kama umeshatumia yote na bado tatizo liko pale pale basi jaribu kubadilisha joto la maji unayotumia.Hiyo ni allergy tu ambayo itaisha baada ya muda fulani.Mi mwenyewe nilikuwa nayo lkn iliisha yenyewe.
  If symptoms persist then seek medical advise!
   
 19. S

  SARAWAT Member

  #19
  Apr 23, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hata mie natatizo kama hili, naona ni reaction ya maji kwa mwili, nina miaka mingi zaidi ya kumi. Ukimaliza kuoga jipake mafuta haraka hutasikia miwasho, imenisaidia sana. Usifadhaike tupo wengi wenye tatizo hilo
   
 20. wende

  wende JF-Expert Member

  #20
  Apr 23, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 715
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  I have the same tatizo,nilifanya medical check up ya haja kubwa nikambiwa kuwa nina minyoo na Amoeba pamoja na alergy.......nikapewa dawa! You cant believe, nilipona kabisa but this lasted for only few days na sasa tatizo lipo vilevile na nafirikia sijui sasa nifanyaje!!

  Alafu nikienda DSM, Arusha na Moshi maji ya kule hayawashi kabisa but nikioga maji ya huku Shinyanga......wajamani iyo kero ya mwasho ninayopata sisemi!!!! Maji ya huku ni ya bwawani/mvua si unajua huku shy??

  Sijajaribu kubadili joto la haya maji kwa kuyachemsha,,,sipendi sana maji ya moto,,,,naoga all the time maji baridi.....embu watalaam tupeni ushauri jamani tupo wengi tunateseka sana na hii hali. Nami nawasilisha!
   
Loading...