Godyhema
Member
- Oct 4, 2019
- 31
- 21
Ila kwenye hilo la acid kuzidi kwenye damu ndioma linapelekea hlo tatizo mwilini, naomba ufafanuzi kidogo maana namimi n muhanga wa hlo tatizoKwenda kupima ni jambo jema zaidi.Ila kwa dalili zako kuna uwezekano mkubwa sana damu yako itakuwa na over acidity(yaani kiwango cha acid/tindikali kwenye damu ni cha juu kuliko kawaida).Hii husababishwa na mambo mengi sana kama vile ulaji wa vyakula vibovu na matumizi ya madawa mara kwa mara;
Vyakula vibovu huweza kuwa vile vya kusindikwa viwandani kama vile juice,soda,tomato source nk,ulaji wa nyama kwa wingi,ulaji vya vyakula vya kukaangwa kwa wingi,unywaji wa pombe,uvutaji wa sigara na mengine ambayo si ya asili.
Madawa yanaweza kuwa ya antibiotic,diclofenac,panadol,dawa za kuongeza nguvu za kiume,uzazi wa mpango na mengine kama hayo.
Ili kuondoa tatizo unahitaji kula vyakula vya asili na kuachana na vile nilivyotaja hapo juu,kunywa maji mengi,mboga za majani zisiive sana kama vile spinach,celery,broccoli, juice za matunda kama vile parachichi pamoja na mbegu yake iliyosagwa,juice ya caroti,juice ya tikiti,juice ya papai na embe.Epuka sukari ya viwandani,epuka chumvi ya viwandani/chumvi ya unga na badala yake tumia ile ya mawe.
Kama utakuwa serious kwa kufuata ninayoeleza,kuanzia mwezi mmoja utakuwa umepona kabisa.Karibu.