Lukonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,324
- 1,784
Likely, lakini tunaangalia chanzo ili kuzuia kwenda kupata tena. Dawa za allergy hutuliza tatizo, lakini ukikutana na chanzo, hali hujirudia.
Nadhani umekwepa kujibu swali la #2. Amekuuliza maswali muhimu. Ukimjibu tutajua hakika sio ugonjwa wa scabies.Ni scientific drugs, kuzikumbuka siyo rahisi, labda nikasome vyeti vya hospital.
Kama umetumia dawa za hospitali hujapona nione mimi nipate kukutibia maradhi yako utakuw aunayo matatizo kwenye ini lako na Damu ndipo unasababishwa kuwashwa na kutokwa na vipele nione kwa wakati wako.Ni tatizo baya linatesa sana tumehangaika kwa muda, tumeenda hospital tumepewa dawa na kuchomwa sindano lakini wapi. Tumetumia sabuni na dawa za kupaka za kila aina tatizo lipo. Kuhusu HIV ni negative. Naomba wataalamu mtusaidie au yoyote anayejua tiba ya tatizo hili.
Wote tunajifunza.Kama umetumia dawa za hospitali hujapona nione mimi nipate kukutibia maradhi yako utakuw aunayo matatizo kwenye ini lako na Damu ndipo unasababishwa kuwashwa na kutokwa na vipele nione kwa wakati wako.
aende kupima ini na figo lake kwani ini au figo likiwa lina kasoro basi utakuwa unawashwa washwa mwili.Wote tunajifunza.
Kwa maelezo ya mtoa mada, inaonyesha kuna mtu mwingine ambaye anasumbuliwa na tatizo kama lake kwa wakati mmoja.
Je shida ya ini yaweza kuwa ya kwanza kufikiriwa?
Ungelikwenda Hospitali kupima allargy au kupima damu yako huenda ikawa ni chafu au ungelipima pia ini lako je lipo salama? Katibiwe hospitali hujapona kwa dawa kizungu nitafute mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia maradhi yako uguwa pole.Naomba kujua ni tatizo gani linalopelekea mpaka mwili kuanza kuwasha unakua kama unachoma choma hivi, afu ukianza kujikuna unahisi kuna raha fulan hiv, Je tiba yake ni ipi?
Je unapenda kula nyama na vyalula gani nitajie nikwambie kitu.Naomba kujua ni tatizo gani linalopelekea mpaka mwili kuanza kuwasha unakua kama unachoma choma hivi, afu ukianza kujikuna unahisi kuna raha fulan hiv, Je tiba yake ni ipi?
Chakula nacho kula mara kwa mara ni ugali na samaki,dagaa, na nyama zenyeweJe unapenda kula nyama na vyalula gani nitajie nikwambie kitu.
Nyama unazo pendelea zaidi ni za wanyama gan?Chakula nacho kula mara kwa mara ni ugali na samaki,dagaa, na nyama zenyewe
Ntalifanyia kazi hili, nashukuru sana kwa ushaurUngelikwenda Hospitali kupima allargy au kupima damu yako huenda ikawa ni chafu au ungelipima pia ini lako je lipo salama? Katibiwe hospitali hujapona kwa dawa kizungu nitafute mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia maradhi yako uguwa pole.
Za ng'ombe natumia sanaaNyama unazo pendelea zaidi ni za wanyama gan?
Mm mgeni ila ngoja nione namna ya kuifungua,,,,Alaf umefunga pm mkuu
Ok sasa kwa kifupi tu, wewe una allergy .Za ng'ombe natumia sanaa
Utanisamehe kwa kukosea nipo barabarani mkuuOk sasa kwa kifupi tu, wewe una allergy .
Allergy yako inatokana na vitu vifuatavyo-:
- Nyama hasa nyama ya ngombe
- kama unalula nguruwe pia
- Maziwa ya ngombe pamoja na vitu vyote vinavyotengenezwa na maziwa ikiwwmo blue band .
- samaki wa baharini namaanisha samaki wa maji chumvi.
- Dagaa wa maji chumvi .
- Pafyumu zenye harufu kali pamoja na sabuni zenye harufu kali.
- vumbi la ndani pamoja na ukungu wa nguo kwenye kabati, yani nguo ikiwa kwenye kabati kwa muda mrefu hurusiwi kuivaa .
Pole sana mkuu, tatizo la mtoa mada anaonekana yuko busy sana yaniMie kuna kipind nilikuwa nikioga wakat jua limechomoza nakuwa nawashwa sana, tena sana.
Lakin nilivyoenda pharmacy nikapewa dawa ya minyoo ya kunywa na ikamaliza tatzo.
Nashukur kwa ushauri, Je ninachotakiwa kufanya ili nipone hii hali.Ok sasa kwa kifupi tu, wewe una allergy .
Allergy yako inatokana na vitu vifuatavyo-:
- Nyama hasa nyama ya ngombe
- kama unalula nguruwe pia
- Maziwa ya ngombe pamoja na vitu vyote vinavyotengenezwa na maziwa ikiwwmo blue band .
- samaki wa baharini namaanisha samaki wa maji chumvi.
- Dagaa wa maji chumvi .
- Pafyumu zenye harufu kali pamoja na sabuni zenye harufu kali.
- vumbi la ndani pamoja na ukungu wa nguo kwenye kabati, yani nguo ikiwa kwenye kabati kwa muda mrefu hurusiwi kuivaa .
Nmekuelewa mkuuUtanisamehe kwa kukosea nipo barabarani mkuu