Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,350
- Thread starter
- #41
kaka nimetumia cetrizine miaka tisa since 2002 june na matumizi kama wewe kila bada ya siku tatu au nne hospitali zote nilikwenda hapa town lakini no solution. Mwaka huu mwezi wa nne nikitia timu SAMUNGE nikapiga kikombe cha babu since then sijaona muwasho wala mkuno na miezi miwili sasa sijagusa cetrizine!hata mimi wakuu, nawashwa mwili mzima km mtu aliemwagiwa upupu, sasa nimejikuta kila baada ya siku3 nakunywa kidonge kimoja cha centrizene (kidonge cha aleji), nikishakunywa tu nakaa hizo siku bila kuwashwa, sasa imekuwa ni tabia ya kunywa dawa ili nisiwashwe, nahofia sumu itazidi kujaa mwilini maana miaka 2 sasa nakunywa dawa tu.