Nundu ya Mbwa Mweusi
Member
- Apr 12, 2017
- 29
- 18
we bata kwelikweli!Oga vumbi kama kuku!!!
we bata kwelikweli!Oga vumbi kama kuku!!!
Inawezekana ikawa ni eczema, omba a kuonana mtaalamu wa ngozi ( dermatologist)Habari za mda na wakati huu wana JF mm Nina tatizo la ngozi....lakini tatizo langu ni tofauti kidogo..Mwanzo kabisa ilikuwa ni MBA lakini sasa limeongezeka tatizo lingine ambalo ni mwili KUWASHA..Mwili unawasha pale unapopata joto..nikikaa juani,nkifanya mazoezi ata ninapokula uwa ni tatizo mwili ukipata joto tuuu basi naanza kuwasha..nilisha enda hospitali nikapewa dawa lakini haikusaidia kitu..nilikuwa naomba kama kuna MTU anafaamu dawa au namna ya kuondokana na tatizo hili hanisaidie...
eczema inakuwaje hi mkuuInawezekana ikawa ni eczema, omba a kuonana namtaakamu wa ngozi ( dermatologist)
Ngozi inakuwa kavu na kuwasha. Kwa muda huu kupunguza mwasho unaweza kunywa piriton moja ukiamka asubuhi lakini nenda kwa daktarieczema inakuwaje hi mkuu
Nenda hospitali kwa ajili ya vipimo na matibabu sahihiWana Jf kwa anayefaham dawa nzuri ya allergy aniambie maana nasumbuliwa na ttzo la kuwashwa na kutokewa na viupele sehem mbali mbali ya mwili
Ungetuma na picha ingekua vizur.Habari za mda na wakati huu wana JF mm Nina tatizo la ngozi....lakini tatizo langu ni tofauti kidogo..Mwanzo kabisa ilikuwa ni MBA lakini sasa limeongezeka tatizo lingine ambalo ni mwili KUWASHA..Mwili unawasha pale unapopata joto..nikikaa juani,nkifanya mazoezi ata ninapokula uwa ni tatizo mwili ukipata joto tuuu basi naanza kuwasha..nilisha enda hospitali nikapewa dawa lakini haikusaidia kitu..nilikuwa naomba kama kuna MTU anafaamu dawa au namna ya kuondokana na tatizo hili hanisaidie...
asante sana ..lakini nilisha enda hospitali nikapewa dawa lkn haikusaidia ..nitajitahidi ntumie ntakupa matokeo..Jaribu kutumia ile sabuni ya zoa zoa manjano labda
asante mkuu..sasa hivi MBA imeisha limebaki tatizo la kuwashwa ...ngozi hipo kama kawaidaUngetuma na picha ingekua vizur.
Una mda gani tangu upate ilo tatzo? Afu ni huo huo mba au mpaka una vipele?
Pia usisahau ushauri wa dada apo kuonana na specialist wa ngozi kwa matibabu mazur zaidi.
asante sana ..lakini nilisha enda hospitali nikapewa dawa lkn haikusaidia ..nitajitahidi ntumie ntakupa matokeo..
Nilipima mkuu nikakutwa sina ttzo lolote ila naambiwa ni allergy tuNenda hospitali kwa ajili ya vipimo na matibabu sahihi
Sawa mkuuUmethibitisha kama ni allergy!??? Nakushauri Nenda kwa wataalamu wa ngozi..watakupa maelekezo..ila kuna kitu kinaitwa "PUMU YA NGOZI'(Atopic dermatitis),kiweke kichwani.
Nishapima mkuu sina ttzopole sana mkuu..kafanye vipimo sahihi upewe dawa sahihi..
Hili tatizo nami lanisumbua sana. Nilipata matibabu lakini bado halijatengemaanazidi kuhaha na vipimoWana Jf kwa anayefaham dawa nzuri ya allergy aniambie maana nasumbuliwa na ttzo la kuwashwa na kutokewa na viupele sehem mbali mbali ya mwili