Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

Nami nilikuwa na tatizo kama hilo na haswa ukioga maji ya baridi na yaliyolala yaani ya katika ndoo. Jaribu kuoga maji ya uvuguvugu na epuka kuoga maji yaliyolala ktk tank au ndoo.
 
Jamani me pia nilishawahi kukutana na hiyo kitu nilipo toka mwanza na kwenda Tanga nilipooga maji ya tanga niliwashwa hvyo hvyo kwa dk 15 nkatumia detol soap sikuona mabadiliko nikawa natumia detol mpaka nkawa siwashi mwili.
 
mimi nina tatizo hili kwa miaka kumi na nimepata tiba tofauti kwa madaktari lakini sijafanikiwa isipokuwa tatizo hupungua ninapotumia maji ya moto pia ni kama mwaka hivi natumia sabuni ya MOVIT kweli imenisaidia sana kufikia hata wakati mwingine naoga bila kuwashwa kabisa.
 
jamani wakuu naombeni dawa ya kuzuia kuwashwa nina muda sasa nasumbuliwa na tatizo hili nimetumia dawa lakini wapi cjajua nini tatizo lake nishaurini nitumie dawa gani jamani
 
jamani wakuu naombeni dawa ya kuzuia kuwashwa nina mda ss nasumbuliwa na tatizo hili nimetumia dawa lakini wapi cjajua nini tatizo lake nishaurini nitumie dawa gani jamani

Google asali na mdalasini, kwenye mchanganyiko ongeza kitunguu swaumu. Jitahidini kusoma JFdoctor kila kitu utapata humu jamvini.
 
Hili tatizo la kuwashwa hata mimi ninalo,nawashwa usoni hasa muda wa usiku,yaani inakuwa ni kero sana,na bado sijapata tiba.
 
Embu oga kwa sabuni yoyote ile bila ktumia kitu chochote kinacho-scratch your body kama vile madodoki etc.
 
Pole ndugu ila nashindwa kuchangia kwa sababu hujawa specific unawashwaje na wapi.
 
hata mimi wakuu, nawashwa mwili mzima km mtu aliemwagiwa upupu, sasa nimejikuta kila baada ya siku3 nakunywa kidonge kimoja cha centrizene (kidonge cha aleji), nikishakunywa tu nakaa hizo siku bila kuwashwa, sasa imekuwa ni tabia ya kunywa dawa ili nisiwashwe, nahofia sumu itazidi kujaa mwilini maana miaka 2 sasa nakunywa dawa tu.
 
Dawa haiwezi kukuponya kwasababu ni Alergy hivyo ukitumia kitu kinachokukataa unawaswa. Inawezekana una Alergy ya nguruwe, pilipili za aina fulani, vyakula fulani vya majini kama samaki au vitu unavyojipaka hivyo badilisha chakula, mafuta na sabuni halafu uone hii ni Alergy tu hata mimi ninayo.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom