Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

Habari za mda na wakati huu wana JF mm Nina tatizo la ngozi lakini tatizo langu ni tofauti kidogo .

Mwanzo kabisa ilikuwa ni MBA lakini sasa limeongezeka tatizo lingine ambalo ni mwili kuwashwa .

Mwili unawasha pale unapopata joto..nikikaa juani,nkifanya mazoezi ata ninapokula uwa ni tatizo mwili ukipata joto tuuu basi naanza kuwasha nilisha enda hospitali nikapewa dawa lakini haikusaidia kitu nilikuwa naomba kama kuna MTU anafaamu dawa au namna ya kuondokana na tatizo hili hanisaidie.
 
Habari za mda na wakati huu wana JF mm Nina tatizo la ngozi....lakini tatizo langu ni tofauti kidogo..Mwanzo kabisa ilikuwa ni MBA lakini sasa limeongezeka tatizo lingine ambalo ni mwili KUWASHA..Mwili unawasha pale unapopata joto..nikikaa juani,nkifanya mazoezi ata ninapokula uwa ni tatizo mwili ukipata joto tuuu basi naanza kuwasha..nilisha enda hospitali nikapewa dawa lakini haikusaidia kitu..nilikuwa naomba kama kuna MTU anafaamu dawa au namna ya kuondokana na tatizo hili hanisaidie...
Inawezekana ikawa ni eczema, omba a kuonana mtaalamu wa ngozi ( dermatologist)
 
Wana Jf kwa anayefaham dawa nzuri ya allergy aniambie maana nasumbuliwa na ttzo la kuwashwa na kutokewa na viupele sehem mbali mbali ya mwili
 
Habari za mda na wakati huu wana JF mm Nina tatizo la ngozi....lakini tatizo langu ni tofauti kidogo..Mwanzo kabisa ilikuwa ni MBA lakini sasa limeongezeka tatizo lingine ambalo ni mwili KUWASHA..Mwili unawasha pale unapopata joto..nikikaa juani,nkifanya mazoezi ata ninapokula uwa ni tatizo mwili ukipata joto tuuu basi naanza kuwasha..nilisha enda hospitali nikapewa dawa lakini haikusaidia kitu..nilikuwa naomba kama kuna MTU anafaamu dawa au namna ya kuondokana na tatizo hili hanisaidie...
Ungetuma na picha ingekua vizur.

Una mda gani tangu upate ilo tatzo? Afu ni huo huo mba au mpaka una vipele?

Pia usisahau ushauri wa dada apo kuonana na specialist wa ngozi kwa matibabu mazur zaidi.
 
Umethibitisha kama ni allergy!??? Nakushauri Nenda kwa wataalamu wa ngozi..watakupa maelekezo..ila kuna kitu kinaitwa "PUMU YA NGOZI'(Atopic dermatitis),kiweke kichwani.
 
Ungetuma na picha ingekua vizur.

Una mda gani tangu upate ilo tatzo? Afu ni huo huo mba au mpaka una vipele?

Pia usisahau ushauri wa dada apo kuonana na specialist wa ngozi kwa matibabu mazur zaidi.
asante mkuu..sasa hivi MBA imeisha limebaki tatizo la kuwashwa ...ngozi hipo kama kawaida
 
Wana Jf kwa anayefaham dawa nzuri ya allergy aniambie maana nasumbuliwa na ttzo la kuwashwa na kutokewa na viupele sehem mbali mbali ya mwili
Hili tatizo nami lanisumbua sana. Nilipata matibabu lakini bado halijatengemaanazidi kuhaha na vipimo
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom