Tatizo la kuwashwa masikio

Oct 2, 2011
61
12
Namba msaada wa mawazo,nasumbuliwa na tatizo la kuwashwa masikio kwa muda mrefu{miaka 5} hospitali nilipewa vidonge na eardrops havikusaidia,yanawasha kavukavu hayatoi maji. naomba mawazo yenu.
 
Ziba pua na vidole vyako vya gumba na kinacho fata,funga mdomo halafu jaza upepo mdomoni na kuuzuia kwa muda.Upepo kidogo utasikia kama unatokea masikioni.Fanya hii mara 2-3 kwa siku kadhaa halafu ulete majibu hapa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom