Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la kuwahi kumaliza

Discussion in 'JF Doctor' started by Mwitakesowani, Sep 25, 2012.

 1. M

  Mwitakesowani Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 15
  Habari wanajamii mimi ni kijana umri miaka 27. Nina tatizo kubwa la kuwahi kumaliza(kuwahi kufika kilele) hii inanipa tabu sana mana mpenzi wangu nakuwa simlizishi kwakweli ananivumilia sana kwa hali yangu. Naomba msaada wa ushauri wowote ama tiba kamili ya kuondokana na adha hii mbaya sana, la kwanza nawahi la pili hivohivo nanachelewa mda kila round. Kama kuna mdau yoyote aliyewahi kuwa natatizo hili naomba anipe tiba aliyotumia naogopa madawa maana yanaua nguvu nasikia kuna tiba asili ni zipi. Hili tatizo la kuchelewa round limejitokeza baada ya kukosa usingizi mana silali na nilishawahi kuomba msaada hapa wa tatizo la usingizi naendelea na ushauri kidogo improvement ipo japo sifeel kama nalala kabisa, nipeni msaada kijana mwenzenu mana hili tatizo lanitesa sana.
   
 2. e

  emalau JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,047
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Watu wengi wana tatizo hili usiwaone wamevaa masuruali hawasemi tu, Hakuna suruhisho moja lakini unaweza kwanza kuchange mindset, unapoenda kufanya kitendo hicho nia ya kwanza iwe kumridhisha mwenzako sio wewe kumaliza haja, pili usifanya tendo kama unakimbia mbio za mita 100 kama bolt, kwamba atakayemaliza haraka ndo mshindi, jaribu control movement, Tatu control namna ya kupumua, legeza mwili kidogo utakapokuwa kwenye tendo ukiona unakaribia unaweza kustop ghafla ukamwongelesha mwenzio kidogo alafu ukaendelea.

  Tatizo la watu wengi wakiwa kwenye tendo hawaongei matokeo yake mwili unaubana sana unakosa relaxation. Upumuaji ni muhimu, take a deep breath, hii inalegeza mwili na kukupa confidence.

  Siri kubwa ya kuchelewa ni kuongeza blood circulation mwilini, hata hizo dawa za kuongeza nguvu zinachofanya ni kuongeza blood circulation, katika hali ya kawaida hii unaweza kuipata kwa kufanya mazoezi ili kuongeza mzunguko wa damu, kupunguza vitambi pia si vibaya siku moja moja ukajaribu kupata kinywaji kikali kidogo kama kwako pombe si mwiko kinaongeza blood circulation though unashariwa usiwe mlevi.
   
 3. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,388
  Likes Received: 191
  Trophy Points: 160
  Kama unapiga kapombe kidogo nunua value changanya na redbull alafu ingia mzigoni,pia usiwe na papara unapofanya kama ulivyoshauriwa hapo juu wanawake wanachelewa sana kufika kileleni lazima uwe na mbinu kumfurahisha kabla ya kuanza
   
 4. M

  Mwitakesowani Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 15
  Asante nitazingatia yote uliyonishauri. je hakuna tiba inayosaidia pia tofauti na madawa haya ya kisasa
   
 5. M

  Mwitakesowani Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 15
  Mi cmnywaji wa value kaka napiga castle little tu, ila nitajaribu nione matokeo yake. kawaida kwa mwnaume unatakiwa kumaliza kwa dakika ngapi ili ulimzishe huyo mwanamke mana mimi ni ndani ya sekunde nakosa raha kabisa mpaka nimeanza kuchukia kufanya mana naaabika
   
 6. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,388
  Likes Received: 191
  Trophy Points: 160
  Kinachotakiwa siyo wewe unachukua muda gani kumaliza cha msingi mwanamke akojoe kwanza ndio na wewe ufuatie
   
 7. ze encyclopedia

  ze encyclopedia JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  1.KUNYWA VALUE NA NYAMA KISHA INGIA KAZINI au
  2. KUNYWA VALUE or KONYAGI or ANY KILEVI KIKALI plus REDBULL....INGIA MZIGONI
  3.KULA ASALI MARA KWA MARA NA MDALASINI, PUNGUZA AU ACHA PUNYETO, UWE UNABANA MKOJO NA KUUTOA MARA
  NYINGI UWEZAVYO WAKATI WA KWENDA HAJA NDOGO NA UFANYE TENDO LA NDOA MARA KWA
  MARA NA MAZOEZI YA MWILI KIDOGO (RECOMMENDED)
  4.HAKIKISHA UMEMUANDAA VYA KUTOSHA MWENZIO KABLA KUJATUPIA KITU NA KM VP INGIA UVINZA (NOT
  RECOMMMENDED) ILI AMALIZE AU AWAHI KUMALIZA KABLA YAKO
   
 8. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,477
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  fanya mazoez ya kuzuia kukojoa...mimi binafsi niliwah kupiga nyeto kwa vipindi tofaut huko nyuma......ila nilikua napenda sana ile raha ya kutaka kumwaga niendelee kuisikia japo kwa dakika kadhaa,.........kumbe kule kujichelewesha kulinipa ex[perience nyingine!!nilijikuta baada ya muda fulani ninauwezo wa kukontroo nikojoe baada ya muda gani,,,nilipoingia rasmi kwenye uhusiano na laazizi wangu aliniona pamoj ana sifa nyingine zakipekee nilizo nazo kuwa mwanaume wake never seen....si kwamba najisifia ndugu ila nina uwezo kwa kukaa juuya kifua cha mwanamke hata kwa dakika 30...bila kupiz na hapo ni hadi aniambie plz beby come..try that na uniambie
   
 9. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #9
  Sep 27, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,154
  Likes Received: 1,503
  Trophy Points: 280
  dogo..kwani huyo ni mkeo au demu wako?..

  kama ni mke naona unahitaji mbinu za kumridhisha na kama ni demu tuu unagonga upunguze uzito inabidi mkae mjadiliane terms and conditions kabla hamjaanza zoezi..

  kama mkataba ni wewe kukojoa regardless yeye..poa. na kama mkataba ni yeye akojoe na kufika orgasm nadhani unahitaji msaada na yeye pia anatakiwa kushiriki katika zoezi la yeye kukojozwa...

  sio mtu unajituma yeye anawaza madeni yake ya saccos na wapi apate pesa ya kununua noah sioni jinsi utavyomkojoza huyo bintiako.

  FANYENI MAPENZI SHIRIKISHI ILI MFIKIE MALENGO MLIYOJIWEKEA PAMOJA.
   
 10. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,154
  Likes Received: 1,503
  Trophy Points: 280
  Pia dogo naanza kuamini hupati usingizi kwa kuwa unawaza sana jinsi ya kumfikisha mpenzi/demu wako...hakuna jinsi usingizi unaweza kuja maeneo kama hayo yaliyojaa mawazo.

  Kama vip hebu jaribu kupiga kazi za nje tofauti na demu wako uone mzuka uanakuwaje..tafuta katoto kadogo ukagonge coz ile miguno ya utamu na maumivu kwa mbali lazma ikupe munkari ya kupiga double platinum....namaanisha unagonga bao mbili za kuunganisha bila kushuka kuvuta pumzi...

  Then ukirudi kifuani unamaliza na moja ya kibingwa ndani ya 45mins unakuwa una-run the show.
   
 11. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,843
  Likes Received: 2,052
  Trophy Points: 280


  jamaani teena si unamkata stimu mwenzako
   
 12. e

  emalau JF-Expert Member

  #12
  Sep 27, 2012
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 1,047
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  [QUOTE


  sio mtu unajituma yeye anawaza madeni yake ya saccos na wapi apate pesa ya kununua noah sioni jinsi utavyomkojoza huyo bintiako.

  [/QUOTE]


  Nimeipenda hiyo
   
 13. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #13
  Sep 27, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 1,258
  Trophy Points: 280
  Dah nnasiku cjagonga cjui itakuaje ckuhyo!!
   
 14. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #14
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,176
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  utajuaje kama huyo m/mke keshafika....?maana nliwah kutumia 45 min, mdada akanambia namkomoa
   
 15. a

  amigooo Senior Member

  #15
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pole sana kaka. Tatizo pamoja na ushauri uliopewa mimi napenda nikuambie kuna product nzuri sana iliyoandaliwa kiasilia isiyokuwa na kemikali na yenye matokeo mazuri sana. Inaitwa ARGI+. Ni bidhaa nzuri sana yenye vitamin C, D3,K2,B6,B12,Folate, L-Arginine,sugars
  Husaidia katika mzunguko mzuri wa damu, ukuaji mzuri wa misuli,ukuaji na urekebishaji mzuri wa mifupa na tishu za mwili.
  Husaidia kwa kiwango kikubwa ukuaji na ufanisi wa nguvu za kiume.
  Husaidia umeng'enyaji mzuri wa mafuta na sukari mwilini na vilevile husaidia katika uzalishaji wa hormoni katika mwili.
  Kwa kuweza kuipata niandikie kwa email: healthwealthfirst@gmail.com pia napatikana kwa namba 0713889162
   
 16. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Chanjia dodoki
   
 17. M

  Mwitakesowani Member

  #17
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 15
  asante mkuu hiyo mdalasini na asali nimejaribu naanza kuona matokeo yake improvement zinaonekana nimeanza kuchelewa la kwanza japo co dakika nyingi ila la pili nachelewa sana, pombe cjaanza 2mia, pia nijuze mwanaume unatakiwa utumie dakika ngapi kutoa la kwanza na muda gani kurudia raundi ya pili
   
 18. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #18
  Oct 5, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,559
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mwanamke kumfikish kileleni sasa hivi ni Pesa! By the way bro tatizo lako kubwa ni msongo wa mawazo, hujiamini hivyo kuongeza tatizo,
   
 19. M

  Mwitakesowani Member

  #19
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 15
  u mean pesa kivipi?........... Limeanza kuisha nafuata ushauri naopewa na wadau hapa
   
 20. M

  Mwitakesowani Member

  #20
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 15
  Asanteni sana kwa ushauri kwa kweli nina improvement kwa sasa. Nakaribisha ushauri na maoni zaidi be blcd all. Kwakweli mwenye tatizo hili azingatie ushauri wa hapa acdharau.
   
Loading...