1) Acha kutazama pornoWakuu naombeni msaada wenu wa kina. Nimekua nikijichua/nikifanya punyeto kuna kipindi huwa nakaa hata mwezi bila hata kugusa ila nikisha fanya tena unawezaa kuta nafanya hii hunitokea sana sana nikiwa nyumbani/tukiwa likizo. napata shida msaada wenu wakuuu. nifanye nini wakubwa niache kabisa hii kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
1) Acha kutazama porno
2) usipendee kukaa muda mrefu bila shughuli ya kufanya.
3) Fanya mazoezi
Badala ushukuru Mungu unamaliza fasta ukafanye shughuli nyingine wewe unataka kupoteza muda.
Bonge la pointsMazoezi: Kufanya mazoezi, mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwa hiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujenga tabia ya kufanya mazoezi ambayo husaidia kukujengea afya njema na kukupa mzunguko mzuri wa damu. Kama una mwili wenye afya basi inaweza kukusaidia kwa namna ya kifikra ambazo huchangia kwenye suala zima la kuwahi kufika kileleni. Hii hutokana na kuongeza kujiamini na kujihusudu...
Dawa ya yote hayo ni kuwa na pesa,financial freedom,.Mazoezi: Kufanya mazoezi, mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwa hiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujenga tabia ya kufanya mazoezi ambayo husaidia kukujengea afya njema na kukupa mzunguko mzuri wa damu. Kama una mwili wenye afya basi inaweza kukusaidia kwa namna ya kifikra ambazo huchangia kwenye suala zima la kuwahi kufika kileleni. Hii hutokana na kuongeza kujiamini na kujihusudu...
Adabu nimeshazishika ila sidhani kama unanizaa, anyway asante kwa kuchangiaHebu jaribu kuwa na adabu wewe mtoto huo muda wa kuwaza matofali na mikopo wakati niko juu ya kifua cha mtoto nautoa wapi ???
Mkuu jamiiforum ni sehemu huru ya kuwakilisha mawazo, ushauri, ujuzi au kutafuta ufumbuzi juu ya kitu fulani, hivyo kama kitu ukiona kina maana na wewe chukua, ukihisi hakikufai changia vyovyote unavyotaka ila ni bora kuchangia vzr sometimes.Huku nako wamepatikana MOTIVATION SPEAKERS mumeacha habari utajiri kupotia Tikiti maji.
Ngoja tufumbe macho tuwaze WAJUMBE walivyotutenda
Asante mkuu kwa kusahihishaMasterbation=masturbation
Salute Mkuu,Mkuu jamiiforum ni sehemu huru ya kuwakilisha mawazo, ushauri, ujuzi, au kutafuta ufumbuzi juu ya kitu fulani, hivyo kama kitu ukiona kina maana na wewe chukua, ukihisi hakikufai changia vyovyote unavyotaka ila ni bora kuchangia vzr sometimes.
Hongera, unakaribishwaSalute Mkuu
Nimekuchua ushauri wako wa
"Changia vyovyote"