Tatizo la kuwahi kufika kileleni kwa wanaume: Fahamu chanzo chake na namna ya kutibu tatizo hili

Mkuu unaweza ukashare tatizo lako, lilianzaje, kipi unahisi ndo kisababishi, hatua gani za kimatibabu umefanya mpaka sasa.... Wapo wadau hapa watafunguka na huenda ukapata mwarobaini wa tatizo lako.

Tatizo lilianza pale tu nilipanza kujaribu tendo kwa mara ya kwanza nilikua early 20's
sasa ni mwaka wa kumi na mbili
nimetumia dawa tofauti za kienyeji bila ya mafanikio.
nimetumia viagra na vumbi la congo bila ya mafanikio
nimekula njugu mbichi zinaweza karibia gunia bila ya mafanikio.
nimekula vunga wa gensen na vidonge vyake bila ya mafanikio

nawahi kukojoa ndani ya 10-15 seconds, uume upo legele, nkishakojoa hiyo mara moja ndio habari imekwisha. (zamani nilikua naweza kurudui cha pili baada ya muda ila ni chakuwahi vile ile ila kwa sasa baada ya kimoja ndio basi kabisa)
mkojo mwepesi na kidogo
na lamwisho ambalo limeanza hivi karibuni hata usimamaji umeanza kuwa washida sana.
 
Pole sana mkuu.... Hili tatizo lako linaelekea kwenye Erectile Dysfunction (ED). Hapo ningekushauri uonane na daktari wa masuala ya uzazi.

Pia mbadala wa Viagra katafute Tadalafil.... Kwa tatzo lako ukikutana na mtaalam wa hayo mambo ata prescribe dose ya chini kabisa ya 2.5mg, hii ni dose ya kumeza kila siku kidonge kimoja na baada ya kuitumia kwa week mbili mfululizo utaanza ona mabadiliko.
 
mkuu spitali gani naweza kwenda kwa hapa dar?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom