Tatizo la kuwa na hofu

Kamuone daktari wa Psychiatric atakutibu vizuri sana.

Huo ni aina ya ugonjwa wa akili .

Vinginevyo labda iwe umerogwa!
 
Mkuu usiwe na hofu tens,angalia viongozi wetu wa kitaifa wengi ni vilaza kuliko were lakini angalia wanavyo jiamini.sometime hofu inatokana na kutofahamu mambo mengi na kuwa na yoga ulioptiliza anza kujizoesha kuwashukulia watu wote kuwa wako kama we we.

Ila yote kwa yote ili dunia uwe kwenye equilibrium lazima kuwepo watu wa aina yako.
 
Ushaona movie inaitwa equilibrium?
 
Samahani mkuu unaundugu wowote na yule naibu waziri alieshindwa kuapa mbele ya Mh Raisi leo..
Chukulia kama funzo jitahidi kufanya mazoezi yakuondoa hilo tatizo madhara yake ndo kama ulivyoona leo unaweza ukajikuta unakosa nafasi nyeti
 
Back
Top Bottom