Fahamu zaidi kuhusu tatizo la kuvunjika uume (Penile fracture)

audacious

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
239
390
Je, Unafahamu juu ya Tatizo la Kuvunjika Uume Kwa Kimombo Penile Fracture?

Tatizo hili lipo na Mara Nyingi linapotokea humuacha Muhusika katika sintofahamu na Asijue Cha Kufanya Kutokana na Mazingira Ambayo tatizo hilo hutokea.

Kwakawaida Penile Fracture ni dharura ya Kimatibabu na kwa Maelezo ya wataalam Tatizo hili linatibika .

Kuvunjika kwa Uume hutokea pale Uume unapokuwa Umesimama na Kuvunjika Kwa Layer ya Tunica Albuginia ambayo hushikiza na kuzunguka mirija miwili Mikubwa ya kwenye Uume Ijulikanayo kama Corpora Carvenosa. Mirija hiyo hujaa damu na Kuwezesha Uume kusimama.

Visababishi vikuu vya Uume kuvunjika ni pamoja na Kufanya Mapenzi kwa Nguvu / rough Sex kitendo kinachopelekea Uume kuchomoka Ukeni na Kugonga Kwenye Mfupa wa Nyonga kwa Nguvu, Baadhi ya mikao wakati Wa Kufanya Mapenzi Mathalani Mkao wa Mwanamke Kuwa Juu (Woman on Top ) ,Kwa bahati Mbaya Mwanamke Anaweza kuukalia Uume Uliosimama Kwa Nguvu na Hivyo kupelekea Mvunjiko.

Aidha Taizo hili pia Huweza kutokea wakati Wa Kujichua (Musturbation), Au Kudondoka na kugonga Kwenye kitu kigumu wakati Uume ukiwa Umesimama.

Dalili za Kuvunjika kwa Uume ni pamoja na kusikia Mlio wa kuvunjika unaofanana na mlio Unaotoka wakati wa Kufungua kizibo Cha Chupa ya Wine (Popping Sound/Crack Sound). Dalili nyingine ni Maumivu Makali na Kusinyaa kwa Uume kwa ghafla, Uume Kubadilika rangi ,na kuona damu Sehemu ya Kukojolea.

Tatizo hili linapotokea Wataalam Wanashauri Kuwahi hospitali .
 
Je, Unafahamu juu Ya Tatizo la Kuvunjika Uume Kwa Kimombo Penile Fracture?

Dah! Mungu apishe mbali
 
Kuna wakati tunafanya style za ajabu ajabu na unakuta uume unajikuja sana,huwa nawaza kuwa hauwez kukatika kwel,kumbe ni kwel nao hukatika
 
Je, Unafahamu juu Ya Tatizo la Kuvunjika Uume Kwa Kimombo Penile Fracture?

Tatizo hili lipo na Mara Nyingi linapotokea humuacha Muhusika katika sintofahamu na Asijue Cha Kufanya Kutokana na Mazingira Ambayo tatizo hilo hutokea.

Kwakawaida Penile Fracture ni dharura ya Kimatibabu na kwa Maelezo ya wataalam Tatizo hili linatibika .

Kuvunjika kwa Uume hutokea pale Uume unapokuwa Umesimama na Kuvunjika Kwa Layer ya Tunica Albuginia ambayo hushikiza na kuzunguka mirija miwili Mikubwa ya kwenye Uume Ijulikanayo kama Corpora Carvenosa. Mirija hiyo hujaa damu na Kuwezesha Uume kusimama.

Visababishi vikuu vya Uume kuvunjika ni pamoja na Kufanya Mapenzi kwa Nguvu / rough Sex kitendo kinachopelekea Uume kuchomoka Ukeni na Kugonga Kwenye Mfupa wa Nyonga kwa Nguvu, Baadhi ya mikao wakati Wa Kufanya Mapenzi Mathalani Mkao wa Mwanamke Kuwa Juu (Woman on Top ) ,Kwa bahati Mbaya Mwanamke Anaweza kuukalia Uume Uliosimama Kwa Nguvu na Hivyo kupelekea Mvunjiko.

Aidha Taizo hili pia Huweza kutokea wakati Wa Kujichua (Musturbation), Au Kudondoka na kugonga Kwenye kitu kigumu wakati Uume ukiwa Umesimama.

Dalili za Kuvunjika kwa Uume ni pamoja na kusikia Mlio wa kuvunjika unaofanana na mlio Unaotoka wakati wa Kufungua kizibo Cha Chupa ya Wine (Popping Sound/Crack Sound). Dalili nyingine ni Maumivu Makali na Kusinyaa kwa Uume kwa ghafla, Uume Kubadilika rangi ,na kuona damu Sehemu ya Kukojolea.

Tatizo hili linapotokea Wataalam Wanashauri Kuwahi hospitali .
Ndio maana mie sipendagi hii style ya lady on top...ni mwendo wa mbuzi kagoma kwenda tuu.

Sasa inamaanisha mgegedo ukivunjika nao wanaufunga p.o.p?
 
Dusan Tadic mchezaji wa Ajax.
20220514_091641.jpg
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom