Fahamu zaidi kuhusu tatizo la kuvunjika uume (Penile fracture)

Happened to me twice, but am Ok now
Worst feeling ever, the Pain was unbearable.

Nikishaapa sitafanya tena COWGIRL (Girl On Top) au Reverse CowGirl maana ndio ilikua chanzo cha yote
UNAKUTA DEMU ANAINUKA JUU FUTI MOJA ALAFU ANAJIACHIA KWENYE MACHINE YAKO; WENGINE WANAINUKA KIDOGO TU... KUNA BALAA PALE
 
Duuh aisee sipati picha kitu kachaaaaa.

Ila madem wengine wakikaa juu huwa wako rough mno sometimes mpaka dushe inauma, anajinyonganyonga na kujitupatupa pale juu utadhani kile ni kijiti tu, anaenda kulia kushoto kwa vurugu tupu ili ye aridhike tu.

Aisee next time ntakua makini na hiyo style nisijevunjiwa mwiko.
 
Back
Top Bottom