Tatizo la kutosikia harufu/smell disorders! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la kutosikia harufu/smell disorders!

Discussion in 'JF Doctor' started by Jpinduzi, Nov 14, 2011.

 1. Jpinduzi

  Jpinduzi Senior Member

  #1
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  heshima mbele kwanza!Nina rafiki yangu wa karibu sana,ni rafiki yangu wa mda mrefu sana na tumeishi nae vizuri sana pasipo kujua kuwa anatatizo la kutosikia harufu.Sasa imetokea juzi wife wake amesafiri kwenda kwao kusalimia.Na bahati mbaya mle ndani mwao kuna mifugo midogo midogo a.k.a Panya,basi katika pitapita panya mmoja akadumkia kwenye choo cha mtoto mdogo ambacho kilikuwa chini ya meza kilikuwa na maji machache akawa amekufa mle,kwakuwa hasikii harufu panya alimaliza takribani wk yumo mle na ameshaanza kuoza,nilipo mtembelea nikaanza kusikia harufu mbaya nikamuuliza mzee vipi mbona harufu kali sana huku nikiweka utani au umeharibu nini humu ndani maana wanaume ndo zenu wake wakitoka tu mnafanya kweli! Any way baada ya kupeana madongo kwa kweli harufu haikuwa ya kuvumilia tulianza kutafuta ni kitu gani kinatoa harufu ndo tukaona panya kwenye choo ya mtoto a.k.a port.

  Sasa nikamuuliza rafiki yangu aliwezaje kuvumilia mda wote huo na harufu mbaya?​,ndipo aliponiambia ukweli kuwa anatatizo la smell disorders!nilishindwa kumshauri kwani sio mtaalamu,ndo kisa cha kuandika humu kama kunamtu anaweza kutoa ushauri kuhusiana na jambo hili!
   
 2. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #2
  Nov 14, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  hata mimi nina hilo tatizo, ngoja wataalam waje kutushauri
   
 3. CtVKiLaZA

  CtVKiLaZA JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mmh! Duh! Hii kali. Huyu jamaa yako anaweza kuishi na choo cha shimo chumbani. Hana haja choo cha maji.
  Ngoja Madaktari waje kutupa ukweli.
   
 4. Jpinduzi

  Jpinduzi Senior Member

  #4
  Nov 14, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Yaani nakwambia ni balaa m2 wangu!sijui njoja tusubiri wataalamu watueleze
   
 5. m

  majogajo JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hata mm nna miaka 25 nnatatzo hilo.
   
 6. m

  mariavictima Senior Member

  #6
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni tatizo kubwa kwa kweli. Mimi na mume wangu wote tuna tatizo hilo. tupeni ufumbuzi ndugu zanguni.
   
 7. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2011
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Mie mwenyewe nina tatizo hilo, naona hayo ni maumbile mtu anazaliwa hivyo na ndio kilema chako wala hakuna matibabu.
   
 8. Dr.kapama

  Dr.kapama Senior Member

  #8
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapo inawezekana ni tatizo kwenye olfactory lobe,
  ambapo sensory nerve zitakuwa hazifanyi kazi ipasavyo...
  muone mtaalam atakusaidia vizuri....
   
Loading...