Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

Yani unataka kumpa ujauzito msichana wa watu umwalibie future yake, nenda katoe mahali,umuoe ndio ujauzito utakuja,acha kufanya ngono zembe, tushachoka kuzika watu kwa kisingizio cha kuugua kifua.
 
Pole sana. Hii huwa inatokeaga mpaka miaka 10 bila ujauzito. Na unaweza pata mapacha watatu kufidia muda uliopita bila mategemeo. Kinachotakiwa ni uvumilivu pamoja na maombi (kufunga).

Toa mawazo machafu ya kuchepuka, hilo nijaribu katika Mapito ya ndoa yenu. Kipindi hicho kigumu pata ushauri wa daktari, Rafiki yenu Mkuu Awe biblia/ msaafu.
 
Funga ndoa mkuu, mungu hapendi uzinzi mnaofanya, fanya hivyo upate baraka za mungu maana watoto ni zawadi toka kwa bwana. Ha ha haaaaa
 
Kama ni demu siyo mke wataka mtoto wanini?ila kama ulimaanisha mke, pengine nimtamu sana we kila siku unajipinda tu sperm hazitakomaa kwa namna hiyo, uwe namuda wakupumzika na kufuatilia muda wa mwenzako juu ya Sikh sake za kutunga mimba.
 
Back
Top Bottom