Tatizo la kutoshika mimba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la kutoshika mimba

Discussion in 'JF Doctor' started by Mr's goole, Aug 31, 2011.

 1. Mr's goole

  Mr's goole Member

  #1
  Aug 31, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nipo kwenye ndoa miaka 2 hadi sasa sijawahi kushika ujauzito.

  Nimepima vipimo vyote mie na mume wangu hatuna tatizo. Naenda mwezini kama kawaida. Sijawahi kutoa mimba wala kutumia njia yoyote kuzuia mimba. Nimekunywa dawa na kuonana na madaktari bingwa wa magonjwa ya wanawake naambiwa sina tatizo. Mume wangu naye hana tatzo.

  Huyu ni mwanaume wangu aliyenitoa usichana na amenioa sijawahi kuwa na mwanaume mwingine. Sijawahi kuugua gonjwa lolote la gono. Nipo makini na vyakula ninavyokula.

  Nisaidieni mwenzenu kwani nimechanganyikiwa. Sijui inmerogwa? Natamani niende kwa jadi ila naogopa. Tatizo hili ni nini?

  ======

   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Aug 31, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Vuta subira na ipo siku bingwa atachana nyavu.
   
 3. howard

  howard Senior Member

  #3
  Aug 31, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nairobi kuna daktari mzuri sana wa mambo hayo na wote waliokwenda wamefanikisha ninao ushahidi wa hilo
   
 4. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Pole sana mkuu wala usife moyo and keep on trying kuna mtu ninamjua alikuwa na shida kama hiyo ila hakufa moyo na baada ya miaka kumi kazi yake ika-pay off na sasa anae mtoto usife moyo na endelea kuwaona wataalamu tofauti pia angalia hapa chini nimegoogle

   
 5. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  pole mdada!najua inatia mawazo sana!nina ushauri mdogo tuu!jamaa huwa hasafiri?kama akisafiri akae kama mwez hivi,halafu akirud mfanye!tena style ya chuma mboga!hapo kitanasa tuu!mayb mbegu zinakua hazijakomaa fresh.
   
 6. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Duh ebana dada pole sana kwa haya majibu unaweza ukajiona upo peke yako au ni jambo la ajabu au ni makosa yako au makosa ya mwenza wako, lakini ukweli ni kwamba haya mambo yapo na fertility za watu zinatofautiana kwahiyo endelea kuwaona wataalamu na endelea kula vyakula bora, supplements na kufanya tendo la ndoa kila ukiwa kwenye ovulation
   
 7. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2011
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 743
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  With Jesus, everything is possible.Believe in Jesus and wait upon HIM.Ni mewaona wengi wenye tatizo kama lako sasa wananyonyesha.As long as dr amethibitisha kuwa hakuna mwenye tatizo kati yenu, basi inahitajika nguvu isiyo onekana!.By the way kuna semina ya mtumishi wa Mungu mwl Mwakasege inaanza jumapili hii pale kinondoni biafra kuanzia saa 9 usikose.
   
 8. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  pole sana dada, mi naamini siku ikifika mambo yote yatakuwa sawa. Achana na fikra za kwenda kwa waganga, kwani waganga wa jadi wana shida nzito balaa......kuanzia shida ya kipesa, stress za kuishi na mashetani/majini, wanafikiria pia nini itakuwa hatma yao pale watakapokufa. yaani kama wataka kuongeza matatizo na msongo wa mawazo jaribu kwenda kwa waganga wa jadi.

  utaishia kutembea na mganga, na hivi umesema uliolewa ukiwa bikra......haha ha ha ha ukienda kwa mganga wa kiume afu aone issue bado inalipa ipo tight, sikufichi utaishia kubeba mimba ya mganga wa jadi.

  Tafadhali usinielewe vibaya, The point i am trying to stress here is that don't dare to go to these witch doctors! you will be ripped off then left disappointed!

  Chamsingi ni kuendelea na Ibada na ninaamini Mungu atajibu maombi yako siku moja.
   
 9. s

  shosti JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mbona miaka 2 michache sana jamani kwa mtu kukata tamaa....utapata tu mpendwa ondoa wasiwasi!
   
 10. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #10
  Aug 31, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  niliwahi kusikia inaweza kutokea ''very rear case' wawili hata wafanyeje(kitaalamu) unless miujiza ya Mungu hawataweza kuzaa lakini kila mmoja aki-divert kwa mtu mwingine atafanikiwa kupata mtoto

  ni tatizo ambalo kila yai linapokutana na mbegu hufa, hivyo muhimu kumwona specialist aliyebobea

  nakumbuka kama mwezi na nusu kusoma habari kwenye gazeti la guardian kuhusu wanandoa mtoto wao alishindikana kutibiwa Tanzania ila kuna bingwa india alifatilia historia ya genes za wawili hao hivyo kupata suluhu na kumtibu mtoto
   
 11. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #11
  Aug 31, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  mpendwa,

  bahati mbaya hujasema uchunguzi uliofanyiwa ni wa aina gani na ulihusisha vipimo gani. tatizo la kutoshika mimba linaweza kusababishwa na mambo mengi yakiwemo ya kimaumbile kama hormonal imbalance na hata genetics, ambyayo ukifanya vipimo vya kawaida hakutaonekana tatizo. ni vizuri mkapima pia damu zenu (kama bado hamjafanya hivyo) ili kuainisha vizalia(genes) vyenu, blood proteins na hormonal levels/balance. uuchunguzi wa mwanzo unaweza kujifanyia mwenyewe kwa kuuchunguza mzunguko wako wa hedhi kama ni regular au irreglar. mara nyingi tatizo la hormonal imbalance huambatana na irregular menstruation circle na timming kati ya peak periods and uterus thickness. kukiwa na mismatch ya hivi vitu, utaweza kushika mimba lakini ikafa baada ya muda mfupi na itakapotoka wewe utadhani ni hedhi kumbe ni miscarriage. kwa kweli naona unahitaji uchunguzi wa kina sana na unaohusisha mambo mengi kwa mapana sana

  kama mchangiaji mmoja (bei mbaya) alivyosema hapo juu, inawezekana kabisa kushindikana mimba kwa baadhi ya couples japo hakuna tatizo lolote bali kwa sababu za viasili vya kimaumbile tu, ila hii ni very rare case! so inahitaji uchunguzi wa kina sana kabla ya kuprove hivvyo.

  hata hivyo, jipe moyo, ondoa wasiwasi na ongeza bidii ya maombi, na Mungu wetu ni mwema na mkarimu sana lazima atajibu maombi yako

  ubarikiwe sana mpendwa
   
 12. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #12
  Aug 31, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,321
  Likes Received: 1,787
  Trophy Points: 280
  Hili ni tatizo sugu sasa hivi hapa mjini. Kupata mimba inakuwa ngumu kweli kweli. Ila kule shamba kila mwaka na mtoto wake. Sijui ni ninini hasa tatizo. Hata hivyo, mama usijari inshallah utapata mtoto
   
 13. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #13
  Aug 31, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Hofu ondoa,mtoto ni majaliwa ya mungu!mtangulize mungu atakusaidia!
   
 14. ldd

  ldd JF-Expert Member

  #14
  Aug 31, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 792
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  let do thz, funga safari uko uliko hadi pale arusha mjn kuna hospital inaitwa st thomas muulizie dr msuya, ni specialist wa iyo mambo yakike, shemeji alikaa muda alipofka 2 mambo ikawa poa!
   
 15. Fasouls

  Fasouls JF-Expert Member

  #15
  Aug 31, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 922
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  usijeenda kwa mganga wa jadi atakudo then hutafanikiwa lolote endelea kufuata ushaur uliopewa na madaktari
   
 16. data

  data JF-Expert Member

  #16
  Aug 31, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,747
  Likes Received: 6,518
  Trophy Points: 280
  Pigeni style ya chuma mboga.. hakikisha jamaaa anamwaga mbegu ndaaaniii.. kama vp zifike mpaka mdomoni
   
 17. ERIC JOSEPH

  ERIC JOSEPH JF-Expert Member

  #17
  Aug 31, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Pole sana ndugu yng sio wewe kilio chako umetuwakilisha wengi kwani hata mi pia swala hilo linanitesa nipo mke wng bado mambo sio sawa jaman wenye uelewa na ushauli tunaomba msada hawa wa mawazo.
   
 18. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #18
  Aug 31, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  .........pole my dear, kama wote wazima labda timing mnakosea. Jitahidi kujua siku zako za ovulation na vile vile labda ute uliokuwa nao ni mkavu hivyo unaweza kuzuia mbegu kufika kwenye mirija.

  Unaweza kutafuta Evening primrose oil, hii supplements huwa inasaidia kuweka ute kuwa mlaini ili mbegu zisafiri vizuri kufikia mirija. Vile vile punguza mawazo acha kabisa kuwaza kuhusu mtoto ipo siku utastukia una mimba na jitahidi sana kumuomba Mungu akupe haja ya moyo wako.
   
 19. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #19
  Aug 31, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  miss jud,

  there you are, afanye hivyo
   
 20. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #20
  Aug 31, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Mwambie mzee ashambulie dakika 90 mfululizo sio anashambulia wiki moja halaf wiki moja analala. ashambulie period mpaka period. Popote akikuona tu akurukie, jikoni, toilet, garden, juu ya magunia ya kolosho, darini, uvunguni, nakazalika. Kama haujapata mimba ndani ya mwezi mmoja basi nachana vyeti vyangu vyote vya mzumbe.

  NB: siku za kupata ujauzito ni chache katika mwezi kama mume ni legelege anashambulia na kupumzika anaweza akawa anazimiss kila mwezi.

  Nimemaliza
   
Loading...