Tatizo la kutokwa na damu puani (Mhina)


Iza

Iza

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2009
Messages
1,905
Likes
171
Points
160
Iza

Iza

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2009
1,905 171 160
Nishaurini tafadhali,
Huwa nawashwa na pua sana(muda mrefu sasa) hasa wakati wa usiku nimezisugua mpaka zinatoka damu,nilidhani ni vumbi lakini nasafisha ninapolala sana,lakini tatizo ni kwamba siku moja nilishangaa kuona damu zinamwagika sana kutoka puani baada ya kama sekunde 20 zilikata hii ilikuwa 2006 sikujali sana,afu juzi kati hapa zikatoka kwa style ileile.Nimecheki Hosp wakasema ni malaria kucheki haipo.Ni kwasababu ya kuzisugua au?
 
Abunwasi

Abunwasi

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2009
Messages
4,056
Likes
1,819
Points
280
Abunwasi

Abunwasi

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2009
4,056 1,819 280
Nosebleed is loss of blood from the tissue lining the nose. Bleeding most commonly occurs in one nostril only.
Nosebleeds are very common. Most nosebleeds occur because of minor irritations or colds. They can be frightening for some patients, but are rarely life threatening.
The nose contains many small blood vessels that bleed easily. Air moving through the nose can dry and irritate the membranes lining the inside of the nose, forming crusts. These crusts bleed when irritated by rubbing, picking, or blowing the nose.
The lining of the nose is more likely to become dry and irritated from low humidity, allergies, colds, or sinusitis. Thus, nosebleeds occur more frequently iduring cold season when viruses are common and heated indoor air dries out the nostrils. A deviated septum, foreign object in the nose, or other nasal blockage can also cause a nosebleed.
Most nosebleeds occur on the front of the nasal septum, the tissue that separates the two sides of the nose. The septum contains many fragile, easily damaged blood vessels. This type of nosebleed can be easy for a trained professional to stop. Less commonly, nosebleeds may occur higher on the septum or deeper in the nose. Such nosebleeds may be harder to control.
Occasionally, nosebleeds may indicate other disorders such as bleeding disorders or high blood pressure.
Frequent nosebleeds may also be a sign of hereditary hemorrhagic telangiectasia (also called HHT or Osler-Weber-Rendu syndrome).
Blood thinners such as Coumadin or aspirin may cause or worsen nosebleeds.

Repeated nosebleeds may be a symptom of another disease such as high blood pressure, allergies, a bleeding disorder, or a tumor of the nose or sinuses.
 
Iza

Iza

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2009
Messages
1,905
Likes
171
Points
160
Iza

Iza

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2009
1,905 171 160
thanx for the tip! atleast nimepata ka mwanga,Mola Akuzidishie
 
Kaitaba

Kaitaba

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2009
Messages
928
Likes
21
Points
0
Kaitaba

Kaitaba

JF-Expert Member
Joined Jun 30, 2009
928 21 0
Hakuna uwezekano wa ku-transilate kwa kiswahili?
 
C

Capitalist

Senior Member
Joined
Feb 3, 2011
Messages
165
Likes
13
Points
0
Age
36
C

Capitalist

Senior Member
Joined Feb 3, 2011
165 13 0
Wakuu nisaidieni nina tatizo la kutokwa na damu ni la mda mrefu dawa yake nini?

NAWASILISHA
 
Babuu blessed

Babuu blessed

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2010
Messages
1,375
Likes
165
Points
160
Babuu blessed

Babuu blessed

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2010
1,375 165 160
Njoo ufanyiwe MAOMBI hayo ni mapepo yanakunywa damu yako mkuu!
 
Change_it

Change_it

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2010
Messages
279
Likes
5
Points
0
Change_it

Change_it

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2010
279 5 0
kuna kiumbe mmoja kama nungunungu tafuta mishale yake choma afu uvute ule kama vile unanusa, itaisha kabisa.
 
Daffi

Daffi

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2011
Messages
3,820
Likes
201
Points
160
Daffi

Daffi

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2011
3,820 201 160
kuna kiumbe mmoja kama nungunungu tafuta mishale yake choma afu uvute ule kama vile unanusa, itaisha kabisa.
<br />
<br />
Duh!kiumbe gani huyo na anapatikana wapi!imethibitishwa au iko kiimani zaidi kama dawa ya babu wa loliondo?
 
M

Mwanaweja

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
3,577
Likes
15
Points
135
M

Mwanaweja

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
3,577 15 135
tafuta limau na majani ya mifangio inayonuka (Malumba) kama unatoka village unanipata kuna mifangio siijui jina ila inanuka na wakati mwingine inatumika kufukuzia nyuki kwa sababu ya harufu yake ponda ponda weka puani kwa muda
 
Katavi

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Messages
40,475
Likes
4,990
Points
280
Katavi

Katavi

Platinum Member
Joined Aug 31, 2009
40,475 4,990 280
kuna kiumbe mmoja kama nungunungu tafuta mishale yake choma afu uvute ule kama vile unanusa, itaisha kabisa.
Anapatikana sehemu zipi huyo kiumbe?? Na anaitwaje.
 
Mau

Mau

Senior Member
Joined
Apr 8, 2009
Messages
176
Likes
1
Points
35
Mau

Mau

Senior Member
Joined Apr 8, 2009
176 1 35
Mwenyewe nilikuwa na tatizo kama lako na zilikuwa zikinitoka kila siku asubuhi nikiamka nikapata rafiki ambaye baba yake ni doctor akaniletea vidonge flani kutoka kwa babake toka nilipomeza wee ndo umenikumbusha tena leo manake nishasahau hilo tatizo. La msingi niPM nikuunganishe na baba yake jamaa
 
Riwa

Riwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2007
Messages
2,599
Likes
247
Points
160
Riwa

Riwa

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2007
2,599 247 160
Wakuu nisaidieni nina tatizo la kutokwa na damu ni la mda mrefu dawa yake nini?

NAWASILISHA
Ndugu yangu Capitalist...kutoka damu puani (Epistaxis) si tatizo dogo la kubeza, kwani inaweza ukawa unapata attacks ndogo ndogo kisha zinastop ukadharau, kuna siku zitatoka tuu non-stop na huwa kucontrol hiyo bleeding..Nimeona cases kama hizo kadhaa!

Tafadhali nenda haraka kamuone daktari specialist ENT (Ear, Nose and Throat) akufanyie evaluation ya kutosha na kukushauri tiba na nini cha kufanya unapopata attack.
 
M

Mwanaweja

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
3,577
Likes
15
Points
135
M

Mwanaweja

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
3,577 15 135
shukrani kwa ufafanuzi kuna wengi wanatatizo hilo ninaimani mtakuwa mmewasidia sama
 
God bell

God bell

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2011
Messages
587
Likes
52
Points
45
God bell

God bell

JF-Expert Member
Joined May 13, 2011
587 52 45
Ndugu, poleni kwa majukumu. Mtoto wangu wa miaka 7 ana tatizo la kutokwa damu puani. Inatoka mda wowote, haijalishi ni kipindi cha baridi au joto, kwani anaweza akaamka asubuhi damu ikaanza kutiririka. Naombeni ushauri madoctor.
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
39,988
Likes
5,382
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
39,988 5,382 280
Dawa ya kutibu Maradhi ya kutoka Damu Puani. Chukuwa maziwa uyachemshe hadi yamechemke vizuri na uyatie katika gilasi, kisha chukuwa yai bichi ulipasue na kulimimina ndani ya hayo maziwa. Koroga mchanganyiko huo wa maziwa na mayai na kuacha hadi yapoe. Kunywa yakishapoa. Tumia hivyo Asubuhi kabla ya kula kitu na usiku kila siku mpaka apone hayo maradhi inshallah atapona kwa uwezo wake Mwenyeezi Mungu .

Au tumia dawa hii pata siki kwa kiingereza inaitwa (Vinegar) kijiko kidogo changanya na maji ya wa mawaridi kwa kiingereza inaitwa (rose water) kijijko kidogo, mtilie matone matone kwenye tundu za pua yake hukatisha kutoka hiyo Damu.

Au tumia dawa hii jaribu kumnusisha huyo mgonjwa hiyo siki kwa kiingereza inaitwa (Vinegar) hiyo damu itakatika.

Au tumia dawa hii chukuwa mavi ya njiwa uyaponde, kisha uchanganye na siki kwa kiingereza inaitwa (Vinegar) ya zamani ,kisha mgonjwa awe ananusa kila mara damu ya kutoka puani itakatika inshallah jaribu Mwenyeezi Mungu atajaalia mwanao atapona inshallah.

mhina-jpg.596170
 

Forum statistics

Threads 1,251,544
Members 481,767
Posts 29,775,672