nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,032
- 893
Habari ya mchana, mwenza wangu umri wake (41) huwa anapata maumivu ya wastani anapokuwa kwenye siku zake za Hedhi, hali hiyo humtokea mara chache sana wakati mwingine baada ya miezi 4-6 ndio humrudia tena. lakini kwasasa hali imebadilika hutokwa damu nyingi sana ikiambatana na maumivu ya tumbo, pamoja na hali hiyo mzunguko wake huwa palepale na pia nimara.