Tatizo la kutokuwa wawazi kwa watoto wetu wanaoanza kupevuka linagalimu future za vijana wengi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la kutokuwa wawazi kwa watoto wetu wanaoanza kupevuka linagalimu future za vijana wengi!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mwl Ngasa, Aug 26, 2012.

 1. Mwl Ngasa

  Mwl Ngasa Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kupenda kila mtu anaruhusiwa, lakini baada ya kupenda unachukua tahadhari gani? watoto wengi kuanzia miaka 14...... wanajikuta wanatumbukia kwenye ngono ambazo hazina kibali hivyo kufanya maisha yao ya shule kuwa hatarini hii ni kwa sababu tu eti sisi utamaduni wetu hauruhusu familia au jamii kuzungumzia mambo ya mapenzi! Walimu nao badala ya kuwapa nasaha watoto nao ndo kwanza wanavkandamiza sasa msichana mdogo tu keshatembea na wanaume wenye umri wa baba yake hivi hii nini sasa? ukiuliza eti watoto wamekosa maadili hivi mtoto alielala na mtu mzima ni nani aliekosa maadili? watoto hawajapewa maadili na maadili si kuwakataza tu waambiwe wazi kwa nini na badala yake wafanye nini kuepuka!
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  umenena vema.
   
 3. N

  Natalia JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  It is upbringing.people who were born 1970s look younger than 1980 s : why ?because of technology and different type of education .my parents are very educated but my grandmother had a chance to raise me .now my kids have agrandma who is busy working traveling .a child anaishiwa kulelewa na mama who is spoiled herself .its a generation thing
   
 4. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nikweli kabisa mtumzima alietembea na mtoto huyo ndo kakosa maadili kabisa.
   
 5. The secretary

  The secretary JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 4,161
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  kuwa wazi na kukaa kuongea na teenagers ni kitu muhimu sana, mzazi anatakiwa kutengeneza urafiki na mtoto na si uadui haitakiwi kumuacha mtoto afanye atakavyo si malezi ukijenga urafiki na mtoto ni rahisi yeye kukuambia jambo linalomtatiza na kuwa na heshima hata kwa watu wengine
   
 6. Mwl Ngasa

  Mwl Ngasa Member

  #6
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mh! hiv kweli unazaa au unapata mtoto halafu unategemea bibi yako akulelee! kukosa plan kunaweza fanya m2 awe na sababu nyingi na zote zikaonekana sawa kwa mtizamo wake lakini kulea ni kulea tu! hakuna cha generation wala tehnology hapa! you might have knowlege but if u lack wisdom u r almost a victim!
   
 7. m

  mjasiria JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 3,790
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Kwa nini hukumpa like kong?
   
Loading...