tatizo la kutojisikia kula. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tatizo la kutojisikia kula.

Discussion in 'JF Doctor' started by Narumba, May 27, 2009.

 1. N

  Narumba Member

  #1
  May 27, 2009
  Joined: Jan 11, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natumaini wazima wana JF,
  Mimi nina tatizo la kutojisikia kula chakula, sipati hamu ya kula kabisa. Sasa yapata miezi 6 nina hili tatizo. Nimetumia vidonge vya vitamini B lakini bado hilo tatizo lipo. Tafadhali anayefahamu njia ya kuliondoa hili tatizo aniambie.
   
 2. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  umepungua uzito kiasi gani kwa miezi hiyo 6?
  na je, una matatizo mengine kama homa au?
   
 3. Saikosisi

  Saikosisi JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2009
  Joined: May 4, 2007
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hiyo itakupunguzia budget kichizi, au ndio mwili haujengwi kwa matofali!

  Njaa unasikia au husikii pia?
   
 4. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2009
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Stress mtu wangu, badilisha mfumo wa maisha ukitoka kazini fanya mazoezi na michezo michezo.
   
 5. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,913
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  Na aina ya chakula unachokula badilisha pia, kwa mfano kama ni mlaji sana wa nyama basi badilisha angalau ule maharage manake kula aina moja tu ya chakula husababisha pia hilo tatizo. Pia pendelea kula matunda mara kwa mara kwani nayo husaidia kuleta ladha tofauti mdomoni hivyo ksaidia hamu ya kula.
   
 6. N

  Narumba Member

  #6
  Jun 1, 2009
  Joined: Jan 11, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sijapungua uzito, na wala sina matatizo ya homa.
   
 7. N

  Narumba Member

  #7
  Jun 1, 2009
  Joined: Jan 11, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sina stress yeyote. Mazoezi nafanya ya kutosha tu.
   
 8. N

  Narumba Member

  #8
  Jun 1, 2009
  Joined: Jan 11, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  njaa nasikia ila sina hamu ya kula kabisa.
   
 9. t

  tatiana. Member

  #9
  May 8, 2011
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 10. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #10
  May 8, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Huna njaa! Au umepata fedha gafla bila kutarajia
   
 11. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,292
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Hata me mwenzio hl tatzo limenikumba yani tangu jana cjala, labda matunda na chai kdogo.
   
 12. S

  Smarty JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  mzee dawa ndogo sana. We funga kula tu. Usile kitu chochote hata maji usinywe kuanzia asubuhi mpaka jion saa moja. Ikifika jioni anza kwa kula vitu laini laini vya moto kama uji, maji yasiyobaridi sana au juice. Afu kula tambi baada ya saa moja waweza kula msosi mgum. Fanya hivi mara tatu kwa wiki. Unaweza kuruka siku mojamoja. Inaaminika kuwa kufunga kunasaisia kwa sababu baadhi ya minyoo tumboni hufa kwa joto kali la tumbo.
   
 13. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #13
  May 8, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kacheki kama una minyoo sometimes huwa ina sababisha kupoteza hamu.
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hivi kwanzia 2009 anaweza akawa bado ana hilo tatizo ehhhh??
   
 15. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #15
  May 8, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Changia inaweza kumsaidia mtu mwingine
   
 16. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #16
  May 9, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  huna tatizo.
  kula matunda na maji tu.... hautakufa
   
Loading...