liwaya
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 2,378
- 1,627
Kuna ndugu yangu mkubwa tu serikalini mwanzoni alikuwa safi ila kadri miaka inayokwenda sasa anamiaka 43 ameanza tatizo la kutetemeka akiwa mbele za watu kiasi cha kushindwa kushika kitu hata kijiko.
Msaada wenu unahitajika hata namba za simu za mahali tunaomba.
Anakosa raha sana amekuwa akiniuliza wapi atapata tiba ya tatizo lake nimekosa majibu.
Msaada wenu unahitajika hata namba za simu za mahali tunaomba.
Anakosa raha sana amekuwa akiniuliza wapi atapata tiba ya tatizo lake nimekosa majibu.