Tatizo la kutetemeka mbele za watu

liwaya

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
2,378
1,627
Kuna ndugu yangu mkubwa tu serikalini mwanzoni alikuwa safi ila kadri miaka inayokwenda sasa anamiaka 43 ameanza tatizo la kutetemeka akiwa mbele za watu kiasi cha kushindwa kushika kitu hata kijiko.

Msaada wenu unahitajika hata namba za simu za mahali tunaomba.

Anakosa raha sana amekuwa akiniuliza wapi atapata tiba ya tatizo lake nimekosa majibu.
 
Ungesema tu kuwa tatizo hili linakusakama ww kuliko kumsingizia nduguyo!!!

Acha woga jiamini utapona ugonjwa huo wa kutetemeka na kutoka jasho la kwapa wkt wa kuzungumza mbele za watu!!
 
Aache kunywa pembe kali kwa wingi, hasa virob, ndo tiba pekee
 
Ungesema tu kuwa tatizo hili linakusakama ww kuliko kumsingizia nduguyo!!!

Acha woga jiamini utapona ugonjwa huo wa kutetemeka na kutoka jasho la kwapa wkt wa kuzungumza mbele za watu!!
HAHAHAHA HAHAHAHAHA IMENIMIDI NICHEKE KWANGUVU KUNA MGENI OFISINI MWANGU AMEBAKIA KUNISHANGAA
 
Ni ugonjwa unatokana na umri jinsi unavyoongezeka baada anaweza kupata stroke..ushuri wangu mwambia hawe anaenda kwenye maombi..apunguze kunywa pombe na nyama..ajitahidi kila vyakula vya mboga za majani kwa wingi na matuda,mayai ya kienyeji na maziwa ya kienyeji kwa wingi
 
hawe =awe!!!

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Inatokea akiwa mbele za watu tu?? Au hata akisimama peke ake?? Akiwa amekaa mbele za watu vp?? Na ikitokea hujiskiaje interms ya mapigo ya moyo?? Yanaenda kasi au yanakua kawaida?? Ama sweat?? Naomba majibu
 
Dr cyprian inatokea akiwa mbele za watu hawezi kufanya kitu hasa asiowazoea
 
KUWA NA HASIRA NYINGI ITAKUSAIDIA ALAFU KUNJA SURA ZILE ALAMA ZA MIRABA ZITOKEEE
 
Ok...ajaribu tumia small doses za better blockers (e.g carvedilol) kabla ya kwenda kuface watu! Zitmweka calm
 
Kuna ndugu yangu mkubwa tu serikalini mwanzoni alikuwa safi ila kadri miaka inayokwenda sasa anamiaka 43 ameanza tatizo la kutetemeka akiwa mbele za watu kiasi cha kushindwa kushika kitu hata kijiko.

Msaada wenu unahitajika hata namba za simu za mahali tunaomba.

Anakosa raha sana amekuwa akiniuliza wapi atapata tiba ya tatizo lake nimekosa majibu.
Mpendwa .. Samahani miaka 43 ni bado kijana na siyo mkubwa Ukubwa ni over 70!! Tueleze hali halisi tutaweza kukupa tiba..!!
 
Ungesema tu kuwa tatizo hili linakusakama ww kuliko kumsingizia nduguyo!!!

Acha woga jiamini utapona ugonjwa huo wa kutetemeka na kutoka jasho la kwapa wkt wa kuzungumza mbele za watu!!
Au ndio ameshaanza kutetemeka? Maana hata hapa yuko mbele za watu
 
Dr cyprian anaonekana kupata suluhisho kwa jinsi alivyoelezea dalili zake na zinazompata zinalingana na anadhania atumie dawa hizo kwanza labda je hazina side effects yyt ile?
 
Back
Top Bottom