Tatizo la kushindwa kurudia raundi ya pili kwa miaka10 sasa

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
1,453
2,000
Tosheka kijana. Goli moja mbona Baridi tu. Mm mwenzako hata hilo moja halitoki mwanamke ananiambia ameshafika anataka apumzike. Najikuta namlizisha yeye tu mm dude bado lipo wima.
Sasa mkuu Hilo lako moja niladakika nyingi Sana mim niladakika8
 

John7371

JF-Expert Member
Apr 29, 2018
1,868
2,000
Mkuu ufanye Leo Kisha uje ufanye baada ya wiki3 hapo tuiteje Sasa ndo Mara kwa Mara hiyo au..minajua Mara kwa Mara niukifanya leo bas baada ya siku moja au mbili unafanya hiyo ndo Mara kwa Mara nijuavyo mim labda uelewa wangu utakua mdogo
Huyo Mwanamke wa watu unamtesa tu, embu mpe Scolari tuone kama malalamiko yataendelea 🤣 🤣 . Mtoto wa watu kufanya nae sex mara 1 kwa mwezi huo ni ukatili wa kijinsia.
*Technically baada ya wiki 3 katika mwezi manake mwanamke huingia period.
 

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
16,891
2,000
Mkuu sina uhakika but i think you dont do sex often,mambo ya kufanya sex once per blue moon ndio matokeo yake hayo. Hormone ya kiume(testosterone) inatakiwa iwepo sana kwenye damu ili tendo liendelee,so ukifanya sex often tendo linastimulate production ya hio hormone, ambayo ndio inachochea wewe kufanya more sex. (assumptions sio facts).
100% fact
 

Bon-CN

JF-Expert Member
Oct 14, 2020
1,210
2,000
Miaka 10, na bado HUJAFA wala kulazwa hospitali!!! Halafu bado hilo nalo unaita tatizo?!!
 

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
1,453
2,000
Sio kwamba hapendi jombaaaaa,huyo keshajiongeza!!.
Mazingira nayoishi nijamii ndgo Sana hakuna Siri lifanyikalo lolote litajulikana Kama sio kwangu bas kwandugu nasimtu wahizo Mambo hata Kama angekua nazo haipiti miezi6 nimeshajua kulingana namazingira
 

Jimmy Romio

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
357
250
Mkuu Sasa hapo kwenye tangawizi na ndiz mbivu minavidonda vya tumbo
Mimi mwenyewe ninavyo ila tangawizi nayokunywa ukali wake si wa nchi hii. Hata ndizi mbivu nakula. Kipindi cha nyuma nilikuwa nikila ndizi napata kiungulia sana, nikaja kutumia dawa moja ya kienyeji ya kutoa nyongo ikanisaidia sana.
 

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
1,453
2,000
Mimi mwenyewe ninavyo ila tangawizi nayokunywa ukali wake si wa nchi hii. Hata ndizi mbivu nakula. Kipindi cha nyuma nilikuwa nikila ndizi napata kiungulia sana, nikaja kutumia dawa moja ya kienyeji ya kutoa nyongo ikanisaidia sana.
VIP we vidonda vyatumbo umepona
 

Jimmy Romio

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
357
250
Mkuu wala usihofu,,huo sio ugonjwa.
Bali ni kukosa hamasa za kuendelea na tendo
Ambazo husababishwa na mwanamke mwenyewe.

*Kwani hata hiyo raundi moja ukiwa mbunifu inatosha kumrudhisha mpenzi wako kila kitu..

-- tulia uwe na confidence.

-- Jitahidi umchezee mpenzi wako muda mrefu.,
Kuzivuta hisia zake.
Jitahidi usimguse kwenye uke, muda mwingi chezea viungo vingine mfano
-matiti.
-- Kitovu.
--Tumbo.
--Mapaja.
--Shingo.
Usiiguse kabisa papuchi..

Hii itampelekea mwanamke kufika kileleni hata kwa kidole nusu. ,
au hata dk 2 ukimpanda mwanamke unamkojoza..

*Kushindwa kurudia raundi inategemea"
-- uzuri.
-- ubunifu wa mwanamke uliyenae kitandani.

Unahitaji upate mwanamke mzuri wa kucheza na ;MIC hutojutia.

Nakuhakikishia siku utapata aina ya mwanamke ninayezungumzia,,
Utarudia hata Mara 5....na kujiona ni mzima wa afya.

Mapenzi ni hisia Mkuu ,hakuhitaji nguvu nyingi kama kusukuma kabati.
Mwandendeeeeeeee!!! Kama nakuona vile 🤣 🤣 🤣
 

Iselamagazi

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
5,518
2,000
Mkuu sio dakika mim nilitaka niwe nauwezo wakurudia roud zingne maana mwenza sianakua anahitaji muendelee hata baada ya saa moja niweze kusimama tuendeleee Sasa inakua tofaut haisimami
Unaweza kwenda round moja but ikawa more effective zaidi ya yule anayegonga round mbili.
 

General relativity

JF-Expert Member
Nov 16, 2017
286
500
Kuna kitu inaitwa kegel exercise, ukiimaster hiyo unapiga round hata tano. Kuna namna unafikia mshindo bila kumwaga au unamwaga nusu, mnara unaendelea kusimama
 

supasonic

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
346
500
kula vyakula vya mboga mboga kwa wingi na pia ufanye mazoezi ya mwili mara kwa mara. Pia nenda hospitali ukapime sukari maana kisukari kinasababisha jogoo asipande mtungi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom