Tatizo la kupoteza/kukosa hamu ya tendo la ndoa

Acha uzinzi utakupeleka jehannum ya moto ndugu, kama unazidiwa na tama oa tu, hizo ni tamaa na zitakupeleka motoni mpokee Bwana Yesu ili uwe na Uzima ndugu yangu
Uyo bwana yesu akishampokea, ndie atakaemuongezea mkewe izo nyege?
 
Ukiona mwenza wako hachachawi na wewe hasa kupeana mzigo jua kashapata anayemfikisha!!

Wala usihangaike na yeye na wewe tafuta...
Mkuu,
Sidhan Kama unamjenga mwenzio Zaid ya kumbomoa.

% kubwa ya wanawake wa hivi hata wazo la kucheat huwa hawana.

Kwa maana furaha yao asilimia KUBWA huwa hailetwi na ngono.

Wanawake Wengi wenye low sex drive,
Furaha yao inaletwa Sana wa maendeleo unayoyafanya kwny familia, mambo ya kiroho, kusaidia ndungu zake, watoto, wasiojiweza na other charity issues.

Mara nyingi wanawake wa hivi sio waongeaji kabisa.

Yaan naweza kusema wanawake wengi INTROVERTS ndo wako kwenye Ili janga.

Na wanna wivu mno, japokua hawaonyeshi waziwazi


KWAIYO,
kumshaur mwenzio akamcheat mwanamke wa hivi ni kuzidi kumbomoa mwanamke kisaikolojia.

Na Zaid Zaid wanawake wa hivi wakifanya maamuz kwa sababu ya cheating ya mumewe,
itakua sio kurevenge kwa kucheat back.

Bali asilimia kubwa revenge yake itakua Ni suicide mission au assassination mission.
 
Unaweza kuchagua path hio kama una hela mkuu ila mie kumlipa daktari kwa tatizo ambalo nimeshaligundua kupitia symptoms tu sio sababu!

Supplement sio dawa ila ni madini ambayo yanaenda kujazia ambapo pamepungua! So hata usipomuona doctor supplement haiwezi muua huyo mkeo! Ni kuzingatia tu namna ya matumizi

shukrani kwa ushauri mkuu.Ntaufanyia kazi
 
Aisee, ni jambo la kihisia zaidi.
Inawezekana hajakupenda bado, sasa sijui inakuwaje.
Nahisi kama wanawake hisia zao ziko kwenye fahamu zao.

Mkuu hebu rudi nyuma kidogo utizame namna mlivyoanza mahusiano yenu.

Kuna wadada/wanawake wa aina hii katika jamii zetu, asipokupenda kuamsha hisia zake inakuwa kazi kwelikweli, namsikitikia kama aliwahi kupoteza mahusiano mengine hapo mwanzo probably hakupenda pia.

Kingine mkuu, inakuwaje unakula hiyo kitu kabla ya ndoa? Madhara yake ndio kama hivi sasa, vishawishi vya kusonga mbele vinaanza kujitokeza.

Hili balaa lingeibuka ndani ya ndoa sio ndio ingekua mbaya sana mkuu?

Ulibahatika kufuatilia ule mkasa wa ndoa ya miaka 20+ iliyovunjwa na mahakama sababu walikuwa hawahusiani kwa miaka yote hiyo sababu ya mwanaume kukosa korodani?

Usichukulie serious kila kinachosemwa na Waebrania, hata mitambo hufanyiwa Commissioning kabla ya kuanza kutumika
 
Au hajakuelewa?

Hii ni siri yake, lakin mim si mtu mpya sana kwenye maisha ya mapenzi na nimewahi kuhusiana na mwanamke asie na mapenzi na mim so i can tell the difference.
Huyu ni mgonjwa na hili tatizo liko nje ya uwezo wake na hata yeye anakiri
 
Maana yake ni Kwamba Libido au Sexual drive iko Chini...!?? Hili ni moja ya matatizo ya Kingono ya Wanawake (Female Sexual Dysfunction) ambapo ugonjwa huu huitwa Hypoactive Sexual Desire Disorder(HSDD). HSDD unaweza kusababishwa na mambo kadha wa kadha, moja wapo ni;

1. Changamoto katika usawa wa homoni kama vile Thyroid Stimulating Hormone, Estrogen, Epinephrine, Norepinephrine, Serotonin na Dopamine. Kuvurugwa kidogi tu kwa kiwango cha Usawa (Balance) kati ya Dopamine kwa ajili ya Hamu (Desire), Epinephrine, norepnephrine msisimuko wa kufanya mapenzi (arousal) na kufikia kilele (orgasm).. Moja ya hizo homoni zikipungua hapo.

2. Matatizo ya kisaikolojia kama stress n.k

3. Madawa ya kienyeji na zingine zinzouzwa Kwenye maduka ya dawa.

4. Kufikia menopause, hapa estrogen hupungua na hili hutokea hasa kwa wale ambao umri umeenda kidogo kama 45 na kuendelea.
5. Kupata maumivu makali wakati wa Tendo, hii hupunguza hamu ya kufanya Mapenzi.

Matibabu yake ni pamoja kuhakikisha unshughulika na fikra zake ambapo yeye anakuwa ana mwazo sana hivyo kupelekea hali kama hiyo na pia ushughulike na hizo Changamoto.

Lakini ipo dawa maalum kwa ajili ya Ugonjwa huu ambayo Inaitwa flibanserin.
Itafute hiyo dawa ukiipata wafamasia dukani watakuelekeza namna ya kutumia.

NB. Shule yake ni ndefu hivyo nimeamua kufupisha, na pia kuna maneno ya kitaalam nimejaribu kuyahamisha kwenda kiswahili ila sijui kama iko sawa ama vipi.!
Pole kamanda, Kila la kheri .

Asante kwa ushauri na maelezo ya kitaalam mkuu, ntayafanyia kazi
 
Ukute Umem-disappoints kwenye mambo fulani ambayo anauchungu na anashindwa kukwambia mfano pengine amegundua uko na michepuko!

Vinginevyo ni ugonjwa ambao madaktari wa kama bongo wala hawajishughulishi kutafuta ufumbuzi!

Nimempeleka matembezi ya mbali mara kadhaa ili kumpa uhuru wa kusema kile kilichojificha kabisa kwenye moyo wake na hasemi.Sidhani kama kuna jambo baya nimewahi kumfanyia
 
Kuna baadhi ya wanaume hawapo romantic kabisa, maandalizi yao huwa yanaboa baada ya raha ni karaha labda uwe kwenye danger ndo utasikia raha, katika wanaume kumi labda watatu ndo huwa wapo vizuri sector hiyo

Ni kweli kabisa, lakin over all other relationships nlizopitia yeye tu ndio aone tatizo? Na vipi hao wenzangu waliotangulia nao hawakuwa romantic?
 
Check minerals imbalances/vitamins inawezekana ni tatizo na mara nyingi ndio lilipo, kama sio weight na lifestyle ni ya kuangalia pia, kwa mwanaume unacheck na testosterone pia, hivyo vyote ni simple blood check tuu

shukrani kwa ushauri mkuu
 
Kuna mabwege watasema mpe pesa ila mi nakushauri tafta supplements tu huyo mama ana hormonal imbalance issues!

Kuna moja inaitwa Femi Care itafute hii ni ya BF Suma itamsaidia sana! Ni supplement ya kimarekani iko poa sana! Another one ni Garlic Allium Complex ya GNLD nayo akiitumia baada ya muda flani utapata matokeo flani matamu! Tumia hizo kisha leta mrejesho! You are not alone!
Ukisikia pesa unavurugwa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom