mujunimunu
Member
- Jan 27, 2011
- 10
- 1
Una ngiri.Kuna dawa za hospitali na kienyeji za kukuwezesha kupata choo. Kwa hilo hiyo hata ukwaju inaweza kudunda. nenda pharmacy kauluzue dawa hii LACTULOSE SOLUTION USP LIVOLUK. Hii inatibu CONSTIPATION SIO NGIRI
Asante mkuu, hivi ugonjwa wa ngiri unatibika? Je kuna doctor ambaye ni mtaalamu wa ugonjwa huu nimtafute badala ya kuwa najaribu hapa na pale? Asante sana