Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
4,855
2,000
Ndugu zangu mwenye kujua namna au dawa ya kukitoa kinyesi. Sitanii hii hali imenitokea leo ni siku ya pili kila nikienda kujisaidia (kunya) nashindwa nimetumia kidole lakini imeshindkana, mpaka damu inatoka. Wataalamu NAOMBA nisaidieni NATESEKA
Nenda kwa mama yoyo akupe dawa ya kuzibua ila ukianza kuharisha kupitisha kiasi usilalamike tena. Hilo la kujitia madole mwanangu, unatafuta mengine ambayo mwisho wa siku utaishia kuwa shoga
 
Biggs

JF-Expert Member
May 3, 2014
1,060
2,000
Ndugu zangu mwenye kujua namna au dawa ya kukitoa kinyesi. Sitanii hii hali imenitokea leo ni siku ya pili kila nikienda kujisaidia (kunya) nashindwa nimetumia kidole lakini imeshindkana, mpaka damu inatoka. Wataalamu NAOMBA nisaidieni NATESEKA
1. https://www.webmd.com/drugs/2/drug-278/castor-oil-oral/details
2. dulcolax-bisacodyl-oral/details
 
kijana13

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
1,538
2,000
Chukua ukwaju ule wenyewe kutoka sokoni changanya na maji Kama nusu Lita au Lita koroga kisha utoe punje na nyuzi nyuzi na mbegu zikiwa tupu.. kunywa hiyo juice ikiwa nzito Kisha ukimaliza, kunywa na maji fresh kiwango like kile Cha juice.. Kama una mtoko au Safari usitoke please maana hakuna kitakacho salia ndani.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wangaya

Senior Member
Sep 6, 2018
191
500
Mkuu kwanza pole sana kwa tatizo hilo. Ila ukweli ni kwamba watu wengi sana wanatatizo hilo ila wanaona aibu kusema wazi kama mimi na wewe tulivyothubutu. Nakushauri kanunue "Castor Oil" duka la dawa na kwa hali uliyonayo, piga hata vijiko vitatu vya chakula. Baadae kaa tulia home. Itakuchukua robo saa au nusu saa. Tumbo litavuruga na choo kilichokwama kitalainika ili kipite vizuri.

Ukifanikiwa kupata choo, nunua Potassium Pamanganize duka la dawa then utakua unachanganya na maji kwenye beseni the unakalia hata kwa dakia 20 asubuhi na jioni ili kuponesha vidonda kwenye njia ya haja kubwa. Pia ukipata choo, kumbuka kutumia hiyo Castor oil kijiko kimoja unapolala usiku ili asubuhi kabla hujaanza mishe zako unapata choo chako vizuri then unaingia mtaani.

Mimi pia ni Muhanga wa hiyo kitu lakini haya mafuta yamenisaidia pakubwa. Ila Maji mengi kuyanywa usisahau. Angalau lita mbili kwa siku.
 
Elongo Junior

Member
Apr 21, 2018
52
125
Mkuu kwanza pole sana kwa tatizo hilo. Ila ukweli ni kwamba watu wengi sana wanatatizo hilo ila wanaona aibu kusema wazi kama mimi na wewe tulivyothubutu.
Nakushauri kanunue "Castor Oil" duka la dawa na kwa hali uliyonayo, piga hata vijiko vitatu vya chakula. Baadae kaa tulia home. Itakuchukua robo saa au nusu saa. Tumbo litavuruga na choo kilichokwama kitalainika ili kipite vizuri.
Ukifanikiwa kupata choo, nunua Potassium Pamanganize duka la dawa then utakua utakua unachanganya na maji kwenye beseni the unakalia hata kwa dakia 20 asubuhi na jioni ili kuponesha vidonda kwenye njia ya haja kubwa.
Pia ukipata choo, kumbuka kutumia hiyo Castor oil kijiko kimoja unapolala usiku ili asubuhi kabla hujaanza mishe zako unapata choo chako vizuri then unaingia mtaani.
Mimi pia ni Muhanga wa hiyo kitu lakini haya mafuta yamenisaidia pakubwa.
Ila Maji mengi kuyanywa usisahau. Angalau lita mbili kwa siku.
Nashukuru mkuu, ushauri ulionipa naufanyia kazi. Asante
 
Umkonto

JF-Expert Member
Dec 27, 2018
722
1,000
Usipojitibu hicho choo, itakuletea shida ya vinyama kutoka njia ya haja kubwa, na tatizo linakuwa kubwa mpaka operation.

Hali hii huwakumba sana watu wa mishe ambao hula chakula kigumu bila kunywa maji ya kutosha na matunda. Wanachuo wengi wanapata shida hii kwa sababu ya kula mikate kuanzia asubuhi mpaka jioni, ili kubana matumizi.
 
Hechinodemata

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
1,264
2,000
Kaka nenda dukani nunua castle oil, au mafuta ya nyonyo, kunywa kijiko cha chakula 2 tu, halafu sikiliza. Itakusadia sana, pia kunywa maji kwa wingi na matunda
Ndugu zangu mwenye kujua namna au dawa ya kukitoa kinyesi. Sitanii hii hali imenitokea leo ni siku ya pili kila nikienda kujisaidia (kunya) nashindwa nimetumia kidole lakini imeshindkana, mpaka damu inatoka. Wataalamu NAOMBA nisaidieni NATESEKA
 
Vladimir Lenin

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
3,473
2,000
Mkuu kwanza pole sana kwa tatizo hilo. Ila ukweli ni kwamba watu wengi sana wanatatizo hilo ila wanaona aibu kusema wazi kama mimi na wewe tulivyothubutu.
Nakushauri kanunue "Castor Oil" duka la dawa na kwa hali uliyonayo, piga hata vijiko vitatu vya chakula. Baadae kaa tulia home. Itakuchukua robo saa au nusu saa. Tumbo litavuruga na choo kilichokwama kitalainika ili kipite vizuri.
Ukifanikiwa kupata choo, nunua Potassium Pamanganize duka la dawa then utakua utakua unachanganya na maji kwenye beseni the unakalia hata kwa dakia 20 asubuhi na jioni ili kuponesha vidonda kwenye njia ya haja kubwa.
Pia ukipata choo, kumbuka kutumia hiyo Castor oil kijiko kimoja unapolala usiku ili asubuhi kabla hujaanza mishe zako unapata choo chako vizuri then unaingia mtaani.
Mimi pia ni Muhanga wa hiyo kitu lakini haya mafuta yamenisaidia pakubwa.
Ila Maji mengi kuyanywa usisahau. Angalau lita mbili kwa siku.
DOOO HAYO KASTRO OIL MKUU YANA LADHA MBAYA INAYOKIFU VIBAYA SANA. SIO CHUNGU BT NI MBAYA KUNA SIKU NUSU NITAPIKE.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom