Tatizo la kukosa hamu ya kula

Jibu
Uzito wako uko chini kidogo yaani under weight, Body mass index (BMI) yako ni 17 Normal inakua kati ya 18.5 to 24.9

Possible reasons
  • High Acidic Reflex ( kuwa na acid nyingi tumboni)
  • Hernia
  • Poor digestion metabolism

Chakufanya
Tibu hayo magonjwa, kula vyakula visivyo na asidi nyingi. pofya hapa kuvijua.

Expirience
Wagonjwa ambao niliwahi watibu hernia au ngiri (wanaume) walisema kati ya vitu vitu vilivyo badilika ni ile hali ya kupata hamu ya kula. Kabla walikua wanakula mlo mara 2 au moja kwa siku sasa hamu ya kula imeongezeka sana na wanakula hadi mara 3+.

Thax
 
Asante mkuu,nakuja bila kuchelewa

Kwa faida ya wote watakaopitia hapa naomba niweke baadhi ya njia utakayoitumia ili kuongeza hamu ya kula chakula na kutatua matatizo ya mfumo wa chakula, mawasiliano yake nimekuwekea inbox.

Vyakula vya:

-Kuongeza damu
-kuimarisha afya
-kuleta hamu ya kula chakula
-kuimarisha mfumo wa chakula
-kukupatia viini lishe ambavyo vinatibu changamoto mbalimbali zinazohusiana na lishe.

1. TAMARIND SMOOTHIE

-Ukwaju, tangawizi na maji ya limao blend vyote kwa pamoja kunywa asubuhi kabla ya kula chakula

2. BEETROOT SMOOTHIE

-Beetroot 1 -apple 1, Tangawizi -lemon water (maji ya ndimu) -Mtindi au maziwa yoyote -sukari/asali blend kwa pamoja.

3. LOZERA SMOOTHIE

-Lozera -nanasi -tangawizi -mchaichai(lemon glass) –pilipili manga na karafuu kidogo robo kijiko –asali
-chemsha lozera na mchaichai,kisha ongeza pilipili manga na karafuu kiasi acha vichemke, kisha blend nanasi na tangawizi, hilo rojo liongeze ktk mchanganyiko wa lozera unaochemka kisha epua na chuja
ongeza asali na kunywa.

4. PAPAYA SMOOTHIE.

-Papai, almond milk, banana blend vyote-Kunywa.

5. AVOCADO SAUCE

*Parachichi 1 -spring onion(kitunguu cha majani), mayonise, pilipili manga, maji kidogo Blend kwa pamoja - Kunywa.

6. STRAWBERRYBAR
*Maziwa fresh, ndizi mbivu, mtindi, strawberries blend vyote kisha gandisha katika form ya bar tumia kama snacks.

7. STRAWBERRY AND BEETROOT SMOOTHIE

*Frozen strawberry (zilizogandishwa), beetroots iliyochemshwa, asali, tangawizi kidogo kunywa.

8. RICE PUDDING

*Loweka mchele kwa maji safi na ongeza magome ya mdalasini kisha chumvi kidogo na pika bokoboko kisha ongeza maziwa ya aina yoyote kama maziwa ya korosho, au almond, saga na ndizi mbivu wakati wa kula.

9. WATERMELON SMOOTHIE

*Tikiti maji+Tangawizi+ndizi

Anza na hivyo. Kila la kheri.
 
Lily uzito wako unatakiwa u'range 42.5 - 57kg. Currently una 40Kg ndio maana BMI inasoma underweight.

Mdogo Wangu nilimwambia apime kg leo maana anavimba miguu akisimama/ kukaa sana. Kaja na majibu ana kg 62.1 + height yake BMI imesoma overweight ( ako na 20yrs.
Napitia kumchukulia kamba aruke ili ashuke chini ya 60.
Uzito wa kuzidi sio poa.

Screenshot_20211011-170848.png
 
Jibu
Uzito wako uko chini kidogo yaani under weight, Body mass index (BMI) yako ni 17 Normal inakua kati ya 18.5 to 24.9

Possible reasons
  • High Acidic Reflex ( kuwa na acid nyingi tumboni)
  • Hernia
  • Poor digestion metabolism

Chakufanya
Tibu hayo magonjwa, kula vyakula visivyo na asidi nyingi. pofya hapa kuvijua.

Expirience
Wagonjwa ambao niliwahi watibu hernia au ngiri (wanaume) walisema kati ya vitu vitu vilivyo badilika ni ile hali ya kupata hamu ya kula. Kabla walikua wanakula mlo mara 2 au moja kwa siku sasa hamu ya kula imeongezeka sana na wanakula hadi mara 3+.

Thax
asante sana mkuu,umenisaidia sana na Mungu wangu,akubariki sana sana
 
Kwa faida ya wote watakaopitia hapa naomba niweke baadhi ya njia utakayoitumia ili kuongeza hamu ya kula chakula na kutatua matatizo ya mfumo wa chakula, mawasiliano yake nimekuwekea inbox.

Vyakula vya:

-Kuongeza damu
-kuimarisha afya
-kuleta hamu ya kula chakula
-kuimarisha mfumo wa chakula
-kukupatia viini lishe ambavyo vinatibu changamoto mbalimbali zinazohusiana na lishe.

1. TAMARIND SMOOTHIE

-Ukwaju, tangawizi na maji ya limao blend vyote kwa pamoja kunywa asubuhi kabla ya kula chakula

2. BEETROOT SMOOTHIE

-Beetroot 1 -apple 1, Tangawizi -lemon water (maji ya ndimu) -Mtindi au maziwa yoyote -sukari/asali blend kwa pamoja.

3. LOZERA SMOOTHIE

-Lozera -nanasi -tangawizi -mchaichai(lemon glass) –pilipili manga na karafuu kidogo robo kijiko –asali
-chemsha lozera na mchaichai,kisha ongeza pilipili manga na karafuu kiasi acha vichemke, kisha blend nanasi na tangawizi, hilo rojo liongeze ktk mchanganyiko wa lozera unaochemka kisha epua na chuja
ongeza asali na kunywa.

4. PAPAYA SMOOTHIE.

-Papai, almond milk, banana blend vyote-Kunywa.

5. AVOCADO SAUCE

*Parachichi 1 -spring onion(kitunguu cha majani), mayonise, pilipili manga, maji kidogo Blend kwa pamoja - Kunywa.

6. STRAWBERRYBAR
*Maziwa fresh, ndizi mbivu, mtindi, strawberries blend vyote kisha gandisha katika form ya bar tumia kama snacks.

7. STRAWBERRY AND BEETROOT SMOOTHIE

*Frozen strawberry (zilizogandishwa), beetroots iliyochemshwa, asali, tangawizi kidogo kunywa.

8. RICE PUDDING

*Loweka mchele kwa maji safi na ongeza magome ya mdalasini kisha chumvi kidogo na pika bokoboko kisha ongeza maziwa ya aina yoyote kama maziwa ya korosho, au almond, saga na ndizi mbivu wakati wa kula.

9. WATERMELON SMOOTHIE

*Tikiti maji+Tangawizi+ndizi

Anza na hivyo. Kila la kheri.
Mkuu nashukuru sana,tayari nime-save hii comment tayari kuanza utekelezaji.
be blessed
 
Lily uzito wako unatakiwa u'range 42.5 - 57kg. Currently una 40Kg ndio maana BMI inasoma underweight.

Mdogo Wangu nilimwambia apime kg leo maana anavimba miguu akisimama/ kukaa sana. Kaja na majibu ana kg 62.1 + height yake BMI imesoma overweight ( ako na 20yrs.
Napitia kumchukulia kamba aruke ili ashuke chini ya 60.
Uzito wa kuzidi sio poa.

View attachment 1971244
Asante sana mpendwa,umenisaidia sana sana😍
 
Kwa faida ya wote watakaopitia hapa naomba niweke baadhi ya njia utakayoitumia ili kuongeza hamu ya kula chakula na kutatua matatizo ya mfumo wa chakula, mawasiliano yake nimekuwekea inbox.

Vyakula vya:

-Kuongeza damu
-kuimarisha afya
-kuleta hamu ya kula chakula
-kuimarisha mfumo wa chakula
-kukupatia viini lishe ambavyo vinatibu changamoto mbalimbali zinazohusiana na lishe.

1. TAMARIND SMOOTHIE

-Ukwaju, tangawizi na maji ya limao blend vyote kwa pamoja kunywa asubuhi kabla ya kula chakula

2. BEETROOT SMOOTHIE

-Beetroot 1 -apple 1, Tangawizi -lemon water (maji ya ndimu) -Mtindi au maziwa yoyote -sukari/asali blend kwa pamoja.

3. LOZERA SMOOTHIE

-Lozera -nanasi -tangawizi -mchaichai(lemon glass) –pilipili manga na karafuu kidogo robo kijiko –asali
-chemsha lozera na mchaichai,kisha ongeza pilipili manga na karafuu kiasi acha vichemke, kisha blend nanasi na tangawizi, hilo rojo liongeze ktk mchanganyiko wa lozera unaochemka kisha epua na chuja
ongeza asali na kunywa.

4. PAPAYA SMOOTHIE.

-Papai, almond milk, banana blend vyote-Kunywa.

5. AVOCADO SAUCE

*Parachichi 1 -spring onion(kitunguu cha majani), mayonise, pilipili manga, maji kidogo Blend kwa pamoja - Kunywa.

6. STRAWBERRYBAR
*Maziwa fresh, ndizi mbivu, mtindi, strawberries blend vyote kisha gandisha katika form ya bar tumia kama snacks.

7. STRAWBERRY AND BEETROOT SMOOTHIE

*Frozen strawberry (zilizogandishwa), beetroots iliyochemshwa, asali, tangawizi kidogo kunywa.

8. RICE PUDDING

*Loweka mchele kwa maji safi na ongeza magome ya mdalasini kisha chumvi kidogo na pika bokoboko kisha ongeza maziwa ya aina yoyote kama maziwa ya korosho, au almond, saga na ndizi mbivu wakati wa kula.

9. WATERMELON SMOOTHIE

*Tikiti maji+Tangawizi+ndizi

Anza na hivyo. Kila la kheri.
Tamarind ni acid kali sana in pH yake ni chini ya 3 na vyengine vyote kasoro Water Melon
NAPENDEKEZA WATER MELON au SAPO MELON smooth/juice ukitumia asali au tende itakua safi zaidi ya sukari.

Nimependa mchango wako ni mzuri sana.
 
Addition
utumiaji wa spices kama star anise, turmeric, Achiote, Cayenne/African Bird Pepper, Cloves, Dill, Onion Powder, Oregano, Powdered Granulate, Pure Sea Salt.
Note
Unaweza kutumia kama tea au ukachanganya kwenje chakula
 
Back
Top Bottom