Tatizo la kukosa hamu ya kula na tumbo kujaa gesi

Ramea

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
2,146
4,053
Nimekuwa na tatizo la kutohisi njaa na kujisikia kushiba, nikila chakula kidogo tu naacha. Pia tumbo linaunguruma sana nikienda chooni kinyesi ni kidogo na kutoa gas.

Wataalamu, nini ni tatizo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom