Tatizo la kukosa hamu ya kula na tumbo kujaa gesi

Nunua Bicarbonate of soda (Sodium Bicarbonate) inauzwa 600 chukua kijiko kimoja cha chakula weka kwenye glas kisha unywe. Ukifanya x 3 kwa siku natumaini utapona within 1 day.
Anaweka tu katka glass na kuanza kunywa au anachanganya na maji
 
Bicarbonate of soda ni base in nature,
Kama una acid tumboni, kifua kinabana au gasses tumboni basi inasaidia kuondoa Acid hiyo na kufanya mmengenyo kua sawa. Natuamaini akiitumia basi hata kama kifua kilikua kinabana kitaachia na tumbo litapona.
Pia husaidia kuondoa harufu
Ahsante mkuu...waifu Ana hili tatizo...ngoja nikamsaidie,,AHSANTE NAWE MTOA UZI
 
Majani yake unatafuna au unachemsha.
Kama unakula mabichi hakikisha unayaosha vizuri usije ukapata minyoo.
Mimi nakula Kama mchwa.
Ningekuwa Kama huyo jamaa ningeshukuru.ningepunguza bajeti ya kula
Sasa Mkuu kukosa hamu ya kula si ni moja ya dalili za vidonda vya tumbo?,Kwa hiyo si suala la kufurahia hata kidogo maana athari zake ni mbaya hakuna mfano.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom