Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

Fuatilia vizuri inawezekana akawa na aina fulani ya kifafa ,angalia mazingira au tabia ya siku inapomtokea inaweza kukusaidia kubaini chanzo,dawa ya amitrptyrine sikubaliani nayo jua tatizo ili litafutiwe dawa kalibu kituo cha afya chochote.
 
Mwambie anywe mikojo yake mwenyewe mara tatu ndani ya wiki moja asubuhi baada ya kuamka, fundo moja au mafundo mawili kwa mpigo. tatizo litaisha, ni ngumu lakini ndia tiba. pia kuna legum flani sizijui jina ila nikiziona nitakupa picha yake, unachemsha na kunywa maji. tiba tosha .
 
Wakuu naombeni ushauri wenu juu ya tiba ya tatizo la kukojoa kitandani kwa mtu mzima (above 18) nini husababisha hali hii na matibabu yake yanakuwaje.

Msaada wa haraka unahitajika.
 
Wakuu naombeni ushauri wenu juu ya tiba ya tatizo la kukojoa kitandani kwa mtu mzima (above 18) nini husababisha hali hii na matibabu yake yanakuwaje. Msaada wa haraka unahitajika.

Tafuta ndevu za mahindi aziloweke kisha awe anakunywa maji yake mara 2 kwa siku kwa muda wa wiki 2.Kingine tumia kitu kinaitwa conditioning yaani angalia ni muda gani huwa ana kojoa ili ujipe zoezi la kuwa unamwamsha muda huo akajisaidie.Ukifanya hivyo ndani ya mwezi 1 utaniambia matokeo!Itafikia wakati atakuwa anajiamsha mwenyewe!!
 
Asinywe kimiminika chochote ifikapo saa kumi jioni akilala rafiki zake wamwashe baada ya masa 2 akakojoe. Baada ya kipindi kifupi atazoea.
 
Kuna gari moja kubwa la mizigo lilikuwa mbele yangu kwenye foleni nyuma limeandikwa "ukiona choo kizuri au kichaka kwenye ndoto usikitumie"
 
Habarin za mida wakuu, nmejitokeza kuomba msaada juu ya tatizo hili nina ndg wa karibu anasumbuliwa na hili tatizo awali tulidhani ni uvivu pia ataacha atakavyokuwa anakua ila sasa imekuwa tatizo kwan amekua binafsi anasema anakuwa hajitambui, hivyo mwenye msaada dawa namna gan tatizo hil linatibika plz
 
Sema ni wewe anyway hizo ni ndoto huwa unachoka sana kabla ya kulala.dawa chukua pande la kuni linalovuka Moshi ujivukize wakati wa kulala.

swissme
 
Atafute mavi ya tembo na kila akitaka kulala ajivukishe moshi wake kwa kuyachoma. afanye hivyo kwa siku saba halafu tatizo hili huwakuta mabinti wazuri. afanye hivyo tu atapona.
 
Nmejikuta nacheka kwa sauti mbele ya watu walio serious @ mabiti wazuri , sasa kuhusu mavi ya tembo ndio naelekea tafuta nyara za serikal mmh
Habarin za mida wakuu, nmejitokeza kuomba msaada juu ya tatizo hili nina ndg wa karibu anasumbuliwa na hili tatizo awali tulidhani ni uvivu pia ataacha atakavyokuwa anakua ila sasa imekuwa tatizo kwan amekua binafsi anasema anakuwa hajitambui, hivyo mwenye msaada dawa namna gan tatizo hil linatibika plz
Mavi ya tembo sio nyara ya govt. yapo yanauzwa wa wauza madawa ya kienyeji. tafuta umsaidie nduguyo.
 
Habarin za mida wakuu, nmejitokeza kuomba msaada juu ya tatizo hili nina ndg wa karibu anasumbuliwa na hili tatizo awali tulidhani ni uvivu pia ataacha atakavyokuwa anakua ila sasa imekuwa tatizo kwan amekua binafsi anasema anakuwa hajitambui, hivyo mwenye msaada dawa namna gan tatizo hil linatibika plz

Mwambie awe makini, akaona choo kwenye ndoto asikitumie kwzni huo utakuwa mtego!
 
Back
Top Bottom