Tatizo la kuijitafuna nyama za pembeni ya mdomo

Morgan Fisherman

JF-Expert Member
Dec 10, 2017
1,799
2,074
Habarini wanajamvi,

kuna hili tatizo ndugu yangu analo la kujitafuna nyama za pembeni mdomoni tunapewa dawa za kusukutua kwa mdomo na za fangasi zinagoma ningependa kujua nini ni shida na je tutaisolve vipi hii hali?

Ushauri wenu ni muhimu kwetu.

asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom