Tatizo la kifua kwa mtoto

lemky

Member
Dec 31, 2013
80
31
Wanajamii Forum habari za majukumu.

Naombeni msaada wa mtoto wangu kwa kusumbuliwa na kikohozi (anakohoa sana sana mida ya usiku kikohozi kikavu na mida ya mchana hukohoa kikohozi kama kilichoiva) kwa takribani miezi miwili sasa, na nimetumia dawa kadhaa za kihospitali na kisunna lakini mpaka sasa hakuna matumaini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom