Tatizo la kasi kwenye Huawei Y300, naomba msaada

MR. DRY

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
637
195
Simu inakuwa nzito katika kuaccess mambo mbalimbali

Msaada wa kufuta apps ambazo siziitaji.

Ahsante
 
Hong25

JF-Expert Member
Dec 9, 2012
1,240
2,000
Kuhusu simu kuwa slow tafuta apps za task killing kama Clean master, halafu ku-uninstall inbuilt apps fanya rooting kwanza ndio utaweza kuziondoa,ila unaweza zi-disable pia kwenye app management,hazitarun na icon zake hazitaonekana kwenye homescreen.
 
Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
8,792
2,000
Simu inakuwa nzito katika kuaccess mambo mbalimbali

Msaada wa kufuta apps ambazo siziitaji.

Ahsante
 • Pamoja na mapendekezo mazuri ya ndugu Hong25 hapo juu
 • Pia badili default storage
Tap SETTINGS,
Tap STORAGE,
Tap DEFAULT STORAGE LOCATION - Hapo chagua SD CARD
 
Last edited by a moderator:

MR. DRY

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
637
195
Ram hii ram ndo inaonekana imebaki hivi,halafu na hizi cache hazisababishi kuleta shida
 
Attachments

 • 1401033497192.jpg
  File size
  56 KB
  Views
  306

MR. DRY

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
637
195
 • Pamoja na mapendekezo mazuri ya ndugu Hong25 hapo juu
 • Pia badili default storage
Tap SETTINGS,
Tap STORAGE,
Tap DEFAULT STORAGE LOCATION - Hapo chagua SD CARD

Ahsante sana ndo nimeweka sasa hivi
 
Last edited by a moderator:

MR. DRY

JF-Expert Member
Oct 5, 2011
637
195
Kuhusu simu kuwa slow tafuta apps za task killing kama Clean master, halafu ku-uninstall inbuilt apps fanya rooting kwanza ndio utaweza kuziondoa,ila unaweza zi-disable pia kwenye app management,hazitarun na icon zake hazitaonekana kwenye homescreen.

Nashukuru sana,lakini nimedisable na zingine nimeforce stop but nakuwa naziona kama ya chrome,playmagazine na nyingine.
Je hiyo apps ya killing ndo jina lake au?
Naomba njia ya kuroot ili niwefanye.
Je madhara ya kuroot napoteza baadhi ya vitu muhimu?
 
Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
8,792
2,000
Nashukuru sana,lakini nimedisable na zingine nimeforce stop but nakuwa naziona kama ya chrome,playmagazine na nyingine.
Je hiyo apps ya killing ndo jina lake au?
Naomba njia ya kuroot ili niwefanye.
Je madhara ya kuroot napoteza baadhi ya vitu muhimu?
 
kkkt

JF-Expert Member
Nov 22, 2014
364
250
Arusha nzima nimezunguka hakuna aliyeweza kunifanyia rooting yani kila nnaemwambia kwake ni geni sasa sjajua mwenye kuweza plz maana maelekezo ya kufanya root kwenye cm hii nimeyaona na ni mepesi tuu tatizo linakuja kwenye msaada wa pc mm sina pc ku connect na kufanya kazi hiyo apa arusha kazi hiyo ni kubwa jamen yan nimechokaje msaada plz kama kuna uwezekano kulingana na maelezo hayo sasa sjui kama nimeeleweka ama la!cm yngu mm ni huawei y300
 
kapepa

Senior Member
Dec 15, 2014
132
0

we upo wap usiseme arusha nzima au ni pm
 
raskaka

Member
Feb 22, 2014
68
95
msaada yangu ilijizima ghafla nikiiwasha inaishia kuweka mwanga wa kijani na logo ya T nimepeleka kwa mafundi kuflash inaoshia njian inagoma
 
Kabaizer

JF-Expert Member
Oct 4, 2011
505
225
ndugu zangu naomba tusaidiane mimi elimu yangu ni ndogo kuhusu mambo ya cm nimesoma hizo thread hapo juu lakini kusema kweli nimeahindwa hata pa kuanzia hivyo nawaomba ndugu zangu wenye mioyo ya kutoa msaada mnielekeze japo kwa undani zaid au tuonane mi naishi dar ili nipate kufaham namna ya kuroot cm yangu ya huawei y300 natanguliza shukrani zangu za dhati!
 
BRICK FLAIR

JF-Expert Member
Aug 4, 2013
568
500
Arusha nzima nimezunguka hakuna aliyeweza kunifanyia rooting yani kila nnaemwambia kwake ni geni sasa sjajua mwenye kuweza plz maana maelekezo ya kufanya root kwenye cm hii nimeyaona na ni mepesi tuu tatizo linakuja kwenye msaada wa pc mm sina pc ku connect na kufanya kazi hiyo apa arusha kazi hiyo ni kubwa jamen yan nimechokaje msaada plz kama kuna uwezekano kulingana na maelezo hayo sasa sjui kama nimeeleweka ama la!cm yngu mm ni huawei y300

Unlock bootloader kisha, weka Super User.. Utakuwa ndiyo umefanya rooting.
Na utaweza kuinstall Custom ROMs ambazo zinakuwa na performance angalau nzuri kidogo
 
Kabaizer

JF-Expert Member
Oct 4, 2011
505
225
Leo nimefanikiwa kuroot cm yangu pongez kwenu wakuu ila tatizo lipo kwenye kuweka custom rom naomba nipate elimu tena,natanguliza shukrani za dhat!
 
kkkt

JF-Expert Member
Nov 22, 2014
364
250
Kufanya hiyo unlockbootloader ndo sijui nayo mr.dream chaser
 
cc12

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
1,010
1,500
Arusha nzima nimezunguka hakuna aliyeweza kunifanyia rooting yani kila nnaemwambia kwake ni geni sasa sjajua mwenye kuweza plz maana maelekezo ya kufanya root kwenye cm hii nimeyaona na ni mepesi tuu tatizo linakuja kwenye msaada wa pc mm sina pc ku connect na kufanya kazi hiyo apa arusha kazi hiyo ni kubwa jamen yan nimechokaje msaada plz kama kuna uwezekano kulingana na maelezo hayo sasa sjui kama nimeeleweka ama la!cm yngu mm ni huawei y300[/QUOT

Stand kubwa pale kuna fundi mzuri sana ila jina lake siijui vizuri ila anakaa kule ndani kwenye hii row ya AQ hotel kwa juu
 
kkkt

JF-Expert Member
Nov 22, 2014
364
250
Nashkur kiongoz cc12 ntajaribu kumtafuta huyo kwenye ghorofa kabisa etie
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom