gaspar kauki
JF-Expert Member
- May 17, 2014
- 578
- 194
Niliflash simu yangu ya Vodafone vf865 ili niwe natumia laini zote,nilifanikiwa lakini internet haifanyi kazi nikiweka laini ya tigo au Airtel ila nikiweka voda speed haipimiki tatizo ni nini?
+25565500066 njoo WhatsApp
+255 655 00 06 6 njoo WhatsApp
Mkuu mbona sikuoni?
Utamwonaje wakati namba ya simu haijatimia!
sorry 0655500066Mkuu mbona sikuoni?
uliflash au uli unlock?